-
Maelfu waliokimbia vita Sudan wanarejea nchini kutoka Misri
Apr 30, 2025 07:51Makumi ya maelfu ya Wasudani waliolazimika kuhama makazi yao kutokana na vita sasa wanarejea nchini licha ya vita kuendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya Sudan.
-
Washukiwa wa al-Shabaab waua Wakenya watano Mandera
Apr 29, 2025 23:03Wafanyakazi watano wa machimbo wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa wakati gari lao liliposhambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigadi la al-Shabaab kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Misri yakosoa wito wa Trump wa kutaka meli za US kupita mfereji wa Suez bila malipo
Apr 29, 2025 23:00Wito wa hivi karibuni wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kutaka meli za nchi hiyo zipitie bila malipo kwenye Mfereji wa Suez umezusha shutuma nyingi nchini Misri, ambapo wataalamu wa masuala ya sheria, viongozi wa kisiasa na wananchi wamekosoa vikali matamshi hayo, wakisema kuwa hayana msingi kisheria, na ni tishio kubwa kwa nidhamu ya kimataifa.
-
Kupanuliwa uhusiano wa Iran na Afrika ni changamoto kwa madola ya Magharibi
Apr 29, 2025 22:59Mkutano wa tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Iran na Afrika ulifanyika mjini Tehran wakati kivuli kizito cha sera za nchi za Magharibi dhidi ya Iran na Afrika kimeathiri mahusiano mengi ya kimataifa kati ya Iran na Afrika.
-
Afrika Kusini yaiambia ICJ: Gaza imekuwa Jahannamu, Israel lazima iwajibishwe
Apr 29, 2025 08:52Ujumbe wa Afrika Kusini umeiambia Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwamba Ukanda wa Gaza umekuwa Jahannamu kwa Wapalestina na umetaka Israel iwajibishwe kwa uhalifu wake katika eneo hilo la Palestina.
-
Jeshi la Sudan: Raia wasiopungua 41 wameuawa katika mashambulizi ya RSF huko al Fasher
Apr 29, 2025 08:36Jeshi la Sudan leo Jumanne limetangza kuwa raia wengine wasiopungua 41 wameuawa na makumi ya wenegine kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora ya wanamgambo wa RSF katika mji wa al Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur ya Kaskazini, magharibi mwa Sudan.
-
Mripuko wa bomu lililotegwa ardhini waua watu 26 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Apr 29, 2025 03:42Watu wapatao 26 wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa wakati magari mawili yalipokanyaga bomu la kutegwa ardhini katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambacho ni kitovu cha waasi.
-
Magaidi 21 wauawa magharibi mwa Mali
Apr 28, 2025 23:14Jeshi la Mali limetangaza kuwa limeua magaidi 21 wakati wa operesheni zake kwenye eneo la Sebabougou la magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Kesi ya kinara wa upinzani Tanzania yaendelea kusikilizwa leo
Apr 28, 2025 04:34Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Tanzania, hii leo inaendelea kusikiliza kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Tundu Lissu.
-
Wasudan 31 wauawa katika shambulio la RSF mjini Omdurman
Apr 28, 2025 04:29Raia wasiopungua 31 wa Sudan wakiwemo watoto wameuawa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa Omdurman, kaskazini mwa mji mkuu wa Sudan Khartoum.