-
DRC yataka Arsenal, Bayern Munich na PSG kufuta kandarasi zao na Rwanda
Feb 02, 2025 22:56Mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Rwanda umeingia katika hatua mpya baada ya Kinshasa kuvitaka vilabu vya soka barani Ulaya vyenye kandarasi na serikali ya Kigali kusitisha kandarasi hizo.
-
Museveni apuuza uamuzi wa mahakama juu ya mahakama za kijeshi
Feb 02, 2025 09:00Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema serikali yake itaendelea kuwashtaki raia katika mahakama za kijeshi, licha ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kupiga marufuku hatua hiyo, ikisema ni kinyume cha katiba.
-
Utulivu wa kulegalega washuhudiwa Goma; Mapigano yapungua mashariki mwa DRC
Feb 02, 2025 04:15Ripoti mbalimbali zinaeleza kuwa licha ya kurejea utulivu wa kiwango fulani katika mji wa Goma, makao makuu ya jimbo la Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mashirika ya misaada ya kibinadamu yameonya juu ya kushtadi hali ya mambo huku hospitali zikizidiwa na wagonjwa, uhaba wa vifaa muhimu vya tiba ukishuhudiwa na miili ya watu waliouawa ikiendelea kuonekana mitaani.
-
Takriban watu 56 wameuawa Sudan huku mapigano yakiendelea Khartoum
Feb 02, 2025 04:07Mashambulio ya mizinga na ya anga yalisababisha vifo vya takriban watu 56 jana Jumamosi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum. Haya yameelezwa na duru za hospitali na wanaharakati wa Sudan.
-
Zaidi ya watu milioni 67 wana uhaba wa chakula Pembe ya Afrika
Feb 01, 2025 23:21Takriban watu milioni 67.4 wa eneo la Pembe ya Afrika hawana uhakika wa chakula. Hayo yametangazwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Afrika Mashariki (IGAD).
-
UN: Mbali na hatari za kiusalama, afya za watu wa Goma pia zinahatarishwa na magonjwa
Feb 01, 2025 23:21Umoja wa Mataifa umesema kuwa, wakati huu ambapo hatari za kiusalama zimeanza kupungua na utulivu umeanza kurejea huko Goma ambao ni mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), afya za wakazi za mji huo ziko kwenye hatari ya kukumbwa na miripuko ya magonjwa kama kipindupindu na Mpox.
-
Watu 3 watiwa mbaroni Zambia kwa kueneza madai ya uongo kuhusu afya ya Rais
Feb 01, 2025 23:19Vyombo vya usalama nchini Zambia vimetangaza kuwa watu watatu wametiwa mbaroni kwa kueneza taarifa za uongo kuhusu hali ya afya ya Rais Hakainde Hichilema kwenye mitandao ya kijamii.
-
UN: Pande mbili za vita vya wenyewe kwa wenyewe Kongo DR vinafanya mauaji, ubakaji
Feb 01, 2025 09:28Umoja wa Mataifa umezishutumu pande mbili za vita vya wenyewe kwa wenyewe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa zinahusika na mauaji ya watu wengi na ubakaji, huku waasi wanaoungwa mkono na Rwanda wakizidi kusonga mbele katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo ambalo lina utajiri mkubwa wa madini kama vile almasi, dhahabu, shaba na yale ya coltan yanayotumika katika simu za mkononi.
-
Jeshi la Sudan latangaza kudhibiti maeneo mengi ya mashariki mwa Khartoum
Feb 01, 2025 09:25Ripoti kutoka Sudan zinasema, jeshi la nchi hiyo linakaribia kutangaza mji wa Khartoum Bahri kuwa huru kutoka kwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) baada ya kuchukua udhibiti wa vitongoji vyote vya jiji hilo.
-
Mwisho wa domino ya kuwafukuza wanajeshi wa Ufaransa kutoka Afrika ya Kati
Feb 01, 2025 05:18Msemaji wa jeshi la Chad ametangaza kwamba nchi hiyo ilipokea kambi ya mwisho ya jeshi la Ufaransa Alhamisi, Januari 30.