-
Watu 5 waliopona Ebola waruhusiwa kurejea nyumbani Kongo huku idadi ya maambukizi ikipindukia 6,000
Sep 01, 2026 14:15Watu watano waliopona ugonjwa wa Ebola jana waliruhusiwa kutoka katika kituo cha matibabu huko Béni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rais wa Algeria aamuru kutekelezwa adhabu ya kifo kwa wale wanaochoma moto misitu kimakusudi
Sep 01, 2026 03:09Rais wa Algeria aamuru kutekelezwa adhabu ya kifo kwa wale wanaochoma moto misitu kimakusudi
-
Wahamiaji waliofukuzwa na Trump na kupelekwa Afrika wasimulia sulubu walizokumbana nazo
Sep 01, 2026 03:08Wahamiaji kumi kutoka Marekani hadi Liberia wameliambia gazeti la The New York Times maelezo ya kutisha kuhusu miezi waliyotumia wakiwa kizuizini na safari ya saa 14 kwenda Afrika Magharibi, wakisema walipigwa, kufungwa minyororo na kutendewa vibaya, kabla ya baadhi yao kujikuta katika nchi ambazo hawana uhusiano nazo.
-
Umoja wa Afrika: Mapigano yanaendelea DRC licha ya makubaliano ya amani
Aug 31, 2026 11:58Umoja wa Afrika (AU) umetangaza kuwa, mapigano yanaendelea kushuhudiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya makubaliano yaliyosainiwa na michakato ya amani inayoendelea.
-
Sheikh Zakzaky: Vita dhidi ya Iran ni mwendelezo wa vita vilivyopiganwa dhidi ya Mtume Muhammad (SAW)
Aug 31, 2026 11:29Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky, ameelezea vita vinavyoendelea, vilivyoanzishwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa Muqawama kuwa ni mwendelezo wa vita vilivyowahi kupiganwa dhidi ya Mtume Muhammad (SAW) katika jaribio la kuzuia haki kutawala.
-
Kamati ya mazungumzo ya Libya yatia saini rasimu ya makubaliano ili kurekebisha muundo wa tume ya uchaguzi
Aug 31, 2026 04:36Kamati ndogo ya Mazungumzo ya Libya ya '4+4' jana Jumapili ilitangaza kuhusu kusainiwa rasimu ya makubaliano ya mwisho kwa lengo la kuifanyia marekebisho ya kimuundo Tume Kuu ya ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kupitia upya sheria za uchaguzi.
-
Karibu watu 20,000 wamelazimika kuhama makazi yao kufuatia kushtadi mapigano jimboni Blue Nile, Sudan
Aug 31, 2026 04:33Karibu watu 20,000 wamelazimika kuhama makazi yao katika jimbo la Blue Nile nchini Sudan kufuatia kuzorota hali ya usalama na kuongezeka hatari zinazowakabili wakazi wa eneo hilo. Haya yameripotiwa jana na shirika moja la misaada linalohudumu Sudan.
-
Guinea-Bissau yaendesha kura ya maoni ya kumuongezea Rais mamlaka
Aug 31, 2026 04:31Wapiga kura Guinea-Bissau nchi inayoongozwa na jeshi walipiga kura jana Jumapili walishiriki katika kura ya maoni ya kumuongezea Rais mamlaka zaidi kabla ya uchaguzi mkuu unaolenga kurejesha utawala wa kiraia baadaye mwaka huu.
-
Makumi ya askari wakamatwa au kuuawa Niger baada ya jaribio la uasi
Aug 30, 2026 12:15Baada ya karibu saa 24 za machafuko, makumi ya askari wamekamatwa au kuuawa katika mji mkuu wa Niger, Niamey kufuatia jaribio la uasi lililofanywa na askari wa jeshi la nchi hiyo.
-
Ndejembi aapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Aug 29, 2026 10:46Deogratius Ndejembi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameapishwa kushika wadhifa huo mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.