-
SAUTI, Polisi ya Rwanda yamtia mbaroni mkuu wa wilaya kwa kuwazuia wananchi kushiriki mikutano ya wagombea wa upinzani
Jul 24, 2017 12:21Polisi nchini Rwanda inamshikilia mkuu wa wilaya moja kwa tuhuma za kuwawekea vikwazo wagombea urais katika kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea nchini humo hivi sasa.
-
SAUTI: Polisi ya Kongo DR yavamia Chuo Kikuu Kinshasa ili kuwakamata wanafunzi wanaodaiwa kutorosha wafungwa
Jul 22, 2017 12:30Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamevamia Chuo Kikuu cha Kinshasa kwa lengo la kuwatia mbaroni wanafunzi wa chuo hicho mbao wanatajwa kuwa wahusika wa vurugu jijini hapo.
-
Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao
Jul 20, 2017 23:03Watunisia wamefanya maandamano mjini Tunis kupinga maonyesho ya vichekesho ya Michel Boujenah Mzayuni mwenye uraia wa nchi mbili za Ufaransa na Tunisia nchini mwao.
-
Marekani; muungaji mkono mkuu wa ugaidi duniani
Jul 20, 2017 22:49Kama inavyofanya miaka yote, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa ripoti kuhusiana na kile inachodai ni uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa ugaidi na kukabidhi ripoti hiyo kwa Congress ya nchi hiyo.
-
SAUTI, Waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya (EAC) wamewasili Rwanda huku wakionyesha kufurahishwa na maandalizi
Jul 20, 2017 12:51Wangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, wamewasili nchini Rwanda huku kampeni za uchaguzi wa rais zikiendelea kila kona nchini humo.
-
Sisitizo la Marekani la kudumisha siasa za vikwazo dhidi ya Iran
Jul 19, 2017 21:50Vikwazo, ni neno muhimu na la msingi ambalo limekuwa likitumiwa na watawala wa Marekani katika siasa zao za chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Larijani: Ushindi wa Mosul umesambaratisha heshima ya Marekani
Jul 17, 2017 09:41Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, ushindi wa vikosi vya wananchi na jeshi la Iraq katika kuukomboa mji wa Mosul, umesambaratisha heshima ya Marekani na madola mengine ya kibeberu.
-
Wapinzani walivyosusia uchaguzi Congo Brazzaville
Jul 17, 2017 02:36Wananchi wengi wame wa Congo Brazzaville wamesusia uchaguzi wa bunge na udiwani na kufanya fujo ikiwa ni pamoja na kuchoma moto vituo vya kupigia kura. Mwito wa kususia uchaguzi huo ulitolewa mapema na vayma vya upinzani. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi kutoka Brazzaville
-
Picha za matukio tofauti ya Mosul
Jul 16, 2017 14:15Mapema mwezi huu wa Julai 2017, Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi alitangaza rasmi kufurushwa magaidi wa Daeshi (ISIS) na kukombolewa mji wa Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nainawa wa kaskazini mwa Iraq. Hizi hapa chini baadhi ya picha zinazoonesha matukio mbalimbali ya operesheni ya ukombozi wa Mosul
-
Waislamu; wahanga wa vitendo vya kibaguzi na kigaidi vya kumwagiwa tindikali nchini Uingereza
Jul 15, 2017 23:44Waislamu wa nchini Uingereza wangali wanakabiliwa na vitendo na mashambulizi ya kibaguzi na kigaidi katika sura mpya kutoka makundi ya mirengo ya kulia yenye misimamo mikali. Jinai mpya ya hivi karibuni ilitekelezwa usiku wa Alhamisi ambapo Waislamu watano walimwagiwa tindikali usoni.