-
SAUTI, Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zaanza rasmi, Rais Kagame asema hana wasi wasi na ushindi
Jul 14, 2017 12:34Nchini Rwanda zimeanza kampeini za uchaguzi wa rais ambapo Rais Paul Kagame wa nchi hiyo ameonyesha kutokuwa na wasi wasi wowote na upinzani wake.
-
SAUTI, Polisi ya Rwanda: Ole wao waandishi wa habari au watu watakaotoa taarifa potofu kwenye kampeni
Jul 13, 2017 09:38Police nchini Rwanda imewaonya wapiga kura na waandishi wa habari kuhusu suala lolote linaloweza kupelekea wao kujikuta kwenye chini ya mkono wa sheria.
-
Matamshi ya James Mattis; ndoto ambazo kamwe hazitatimia
Jul 12, 2017 02:46James Mattis, Waziri wa Ulinzi wa Marekani anasema kuwa, ili kuweko uhusiano chanya wa pande mbili kati ya Iran na Marekani, kuna ulazima wa kubadilishwa mfumo unaotawala hapa nchini.
-
Rohani: Taifa la Iran litayashinda madola ya kibeberu
Jul 11, 2017 11:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeonesha kuopitia uwezo wake, umoja na udiplomsia wake kuwa litashinda njama za madola makubwa ya kibeberu duniani.
-
SAUTI, Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadamu Burundi yasema, hali ya kibinaadamu nchini imeboreka sana
Jul 08, 2017 06:02Tume ya kitaifa haki za binaadamu nchini Burundi imesema kuwa, hali ya haki za binaadam imezidi kuboreka siku hadi siku nchini.
-
SAUTI, Elimu ya vyuo vikuu vya Afrika iko chini sana ikilinganishwa na ya vyuo vikuu vya mabara mengine
Jul 08, 2017 05:16Watalaam wa elimu barani Afrika wamekiri kwamba ukosefu wa kiwango cha ubora wa elimu barani humo kimesababisha kudorora kwa raslimali yenye uwezo wa kuinua maendeleo kwa kasi inayotakiwa.
-
Mtazamo wa G20 kwa bara la Afrika
Jul 07, 2017 12:40Mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa G20 umeanza huko Hamburg nchini Ujerumani na miongoni mwa ajenda zake kuu ni mjadala juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, mustakbali wa makubaliano ya kibiashara na matatizo na masuala ya bara la Afrika.
-
Saudi Arabia mwasisi wa vitendo vya uchupaji mipaka nchini Uingereza
Jul 05, 2017 23:33Matokeo ya utafiti mpya wa hivi karibuni uliofanywa nchini Uingereza umeitaja Saudi Arabia kuwa mwanzilishi mkuu wa vitendo vya uchupaji mipaka nchini humo.
-
Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani
Jul 04, 2017 23:34Katika hali ambayo kundi la kigaidi la Daesh linavuta pumzi zake za mwisho nchini Iraq katika siku hizi za kukaribia mwisho operesheni za kijeshi katika mji wa Mosul na kusafishwa sehemu kubwa ya maeneo hayo na uwepo wa magaidi hao na hivyo kuyafanya macho na masikio ya walimwengu kuelekea katika hatua ya mwisho ya uwepo wa Daesh katika nchi hiyo, duru za kisiasa za nchi hiyo ya Kiarabu zimeripoti habari ya kuweko njama mpya za Marekani katika hatua hiyo.
-
SAUTI: Kundi jipya la waasi Kongo DR lavamia kambi ya jeshi Kivu Kusini na kuua, kupora silaha na kuichoma moto
Jul 02, 2017 08:08Waasi wapya wa kundi la Muungano wa Taifa kwa ajili ya Kujitegemea (CNPC), nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameshambulia kambi ya jeshi ya mkoa wa Kivu Kusini na kuua askari 12, kupora silaha na kuichoma moto kambi hiyo.