-
SAUTI: Serikali ya Burundi yatangaza kuyafuta mashirika matano kwa kushindwa kuwajibika, huku ikituhumiwa kwa usiasa
Oct 24, 2016 13:37Hatua hiyo imetajwa kuwa ni baada ya mashirika hayo kuendeleza shughuli zake kwa siri na kinyume cha sharia.
-
SAUTI: Nchi za Kiafrika zimeshauriwa kutojiondoa kutoka Mahakama ya Uhalifu ICC kwani hatua hiyo itaongeza jinai
Oct 24, 2016 13:29Mataifa barani Afrika yameshauriwa kutojiondoa kutoka Mahakama ya Uhalifu wa Kivita ICC na badala yake yaungane kuzimaliza changamoto zilizopo katika makubaliano baina ya nchi hizo na mahakama hiyo.
-
SAUTI: Hatimaye serikali na waasi nchini Kongo DR wakubaliana kuunda serikali ya mseto kuelekea uchaguzi wa raia 2018
Oct 18, 2016 13:19Hatimaye na baada ya muda mrefu wa vutanikuvute ya mazungumzo ya kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, serikali na upande wa upinzani zimetiliana saini ya kumaliza hali ya mchafukoge nchini.
-
VIDEO + PICHA: Rais Rouhani alipozindua mfumo wa kisasa wa Iran wa kujilinda na makombora Bavar 373
Oct 13, 2016 12:45Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezindua mfumo wa kisasa kabisa wa kujilinda na makombora uliotengenezwa na wataalamu wa Iran ambao una nguvu kuliko ule wa S300 wa Russia. Mfumo huu wa makombora wa Iran unaitwa Bavar-373
-
Mamilioni ya Waislamu wakumbuka tukio la kuuawa shahidi Imam Hussein (as)
Oct 11, 2016 14:58Mamilioni ya Waislamu wa madhehebu ya Shia leo tarehe 9 Muharram wameshirika katika shughuli ya kukumbuka tukio chungu la kuuawa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Imam Hussein (as).
-
SAUTI: Serikali ya Tanzania yaendelea kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kutumia bandari ya Dar es Salaam, Tanga
Oct 11, 2016 13:43Serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha miundombinu katika bandari zake za jijini Dar es Salaam na Tanga ili kuzivutia nchi majirani zisizokuwa na bandari kuweza kutumia bandari hizo.
-
SAUTI: Mgogoro wa Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wazidi kupanuka na sasa ukiwasukuma watu hao kwenda ikulu
Oct 11, 2016 13:38Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wanaoishi maeneo ya pwani, wameanzisha matembezi ya amani ya umbali wa zaidi ya kilomita 600 kuelekea ikulu ya Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi.
-
SAUTI: Waislamu duniani watakiwa kutofanya jazba katika kuchukua maamuzi
Oct 09, 2016 15:13Waislamu kote ulimwengu wametakiwa wametakiwa kujifunza vyema dini yao na kutokubali kuingizwa kwenye magenge yanayotumia dini kutenda vitendo vilivyo kinyume na Uislamu. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
-
SAUTI, Sababu ya Saudia kushambulia ovyo maeneo ya raia yabainika kuwa ni baada ya kushindwa kwake vitani
Oct 08, 2016 13:57Walimwengu wameendelea kulaani kimya cha jamii ya kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa juu ya jinai za kutisha za Saudi Arabia nchini Yemen, huku wahanga wakubwa wa jinai hizo wakiwa ni raia wa kawaida.
-
VIDEO: Kama ulipitwa na video wakati Netanyahu alipoaibika; wakati mbunge Muislamu wa Uholanzi alipokataa kumpa mkono, ingia hapa kuiona
Oct 05, 2016 07:15Tunahan Kuzu, mbunge Muislamu wa chama cha DENK katika bunge la Uholanzi amekataa kumpa mkono Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa safari rasmi aliyofanya kuitembelea nchi hiyo.