-
Saudi Arabia, Iran zinasisitiza azma ya kupanua uhusiano wao wa kijeshi
Apr 18, 2025 03:58Iran imesisitiza juu ya utayarifu wake wa kupanua uhusiano wa kijeshi na Saudi Arabia, wakati huu ambapo Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ya Kiarabu, Mwanamfalme Khalid bin Salman yuko hapa Tehran tangu jana Alkhamisi kujadili usalama katika eneo hili.
-
Pezeshkian: Iran, Saudia zinaweza kuwa kielelezo cha ushirikiano wa kikanda
Apr 18, 2025 03:46Rais wa Iran Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia zinaweza kuwa kielelezo cha ushirikiano wa kieneo na kusisitiza kuwa, umoja wa nchi za Kiislamu ni sharti la kupatikana amani, usalama na maendeleo endelevu ya kiuchumi katika eneo hili.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utazinufaisha pande mbili
Apr 17, 2025 23:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utakuwa na faida kwa pande mbili na unaweza kuzifanya pande mbili hizo zikamilishane.
-
Eslami aitaka IAEA kutoegemea upande wowote katika mazungumzo ya kati ya Tehran na Washington
Apr 17, 2025 23:09Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa Tehran inataraji kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) hautoegemea upande wowote kuhusiana na mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Tehran na Washington.
-
Waziri wa Ulinzi wa Saudia yupo Tehran kujadili uhusiano wa pande mbili, masuala ya kieneo
Apr 17, 2025 10:05Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Khalid bin Salman Aal-Saud amewasili Tehran leo Alkhamisi kwa ziara muhimu inayolenga kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Tehran na Riyadh, na kujadili masuala ya kieneo.
-
Araghchi: IAEA inaweza kutatua kwa amani faili la nyuklia la Iran
Apr 17, 2025 09:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unaweza kuwa na nafasi na jukumu muhimu katika utatuzi wa amani wa suala la nyuklia la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Grossi asisitiza nafasi ya diplomasia katika suala la nyuklia la Iran
Apr 17, 2025 09:13Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), aliwasili Tehran Jumatano, Aprili 16, ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Sayyid Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, na Mohammad Eslami, Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran.
-
Iran na China ni ngome isiyoweza kupenywa na vikwazo vya Marekani
Apr 17, 2025 02:13Wizara ya Fedha ya Marekani imezidisha mashinikizo dhidi ya Tehran kwa kukiwekea vikwazo kiwanda cha kusafisha mafuta cha China kwa madai ya kununua mafuta ya Iran. Hata hivyo, takwimu zinaonyesha kuwa si tu vikwazo hivyo havijazuia mauzo ya mafuta ya Iran, bali pia vimezidisha ushirikiano wa kiuchumi na kijiografia kati ya Iran na China.
-
Gharibabadi: Iran haina haja ya kupoteza muda kwenye mazungumzo
Apr 17, 2025 02:12Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayehusika na Sheria na Masuala ya Kimataifa amesema kuwa duru ijayo ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani itafanyika kama ilivyopangwa na kwamba Tehran haina haja ya kupoteza muda.
-
Baghaei: Misimamo inayogongana ya Marekani ni ishara ya kutokuwa na nia njema na ya dhati katika mazungumzo
Apr 17, 2025 00:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Esmail Baghei ametoa mjibizo kwa msimamo wenye mgongano ulioonyeshwa na Steve Witkoff, mjumbe maalumu wa Rais wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na mwakilishi wa nchi hiyo katika mazungumzo na Iran.