-
Rais Pezeshkian: Iran haifanyi mazungumzo iwe imezungumza tu, inataka tija inayoonekana
Feb 18, 2026 07:36Rais Masoud Pezeshkian amesisitiza kwamba, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja inayofanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yako chini uangalizi kamili wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei na ametupilia mbali dhana ya kushiriki Iran katika "mazungumzo kwa ajili ya kuzungumza tu."
-
Iran yamuita balozi wa Ujerumani kulalamikia 'uadui' wa Berlin
Feb 18, 2026 02:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemuita balozi wa Ujerumani hapa mjini Tehran kulalamikia misimamo na hatua za hivi karibuni za uadui zilizochukuliwa na mamlaka za Ujerumani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mazeozi ya kijeshi ya IRGC Ghuba ya Uajemi, nembo ya uwezo wa kujilinda na wa kistratijia wa Iran
Feb 17, 2026 23:51Awamu ya kwanza ya mazoezi ya Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imefanyika katika visiwa vya Iran kwenye maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Rais Pezeshkian: Iran haitaki silaha za nyuklia
Feb 17, 2026 23:35Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena kuwa nchi hii haitaki kumiliki silaha za nyuklia kwa aina yoyote ile.
-
Katika hotuba ya kuaga, Yunus asema kupinduliwa Hasina ulikuwa ukombozi kwa Bangladesh
Feb 17, 2026 23:34Kiongozi wa mpito wa Bangladesh Muhammad Yunus, ametangaza kujiuzulu katika hotuba ya kuaga kwa taifa aliyotoa kabla ya kukabidhi mamlaka kwa serikali iliyochaguliwa.
-
Iran, US zakamilisha duru ya pili ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana ya nyuklia, Geneva
Feb 17, 2026 10:09Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, duru ya pili ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani imemalizika mjini Geneva, Uswisi.
-
Kiongozi Muadhamu amjibu Trump na kusema, Meli za kivita zinaweza kuzamishwa baharini
Feb 17, 2026 09:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu vitisho vya mara kwa mara vya kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Iran, akisema kuwa silaha zenye uwezo wa kuzamisha manowari za Marekani ni “hatari zaidi” kuliko meli hizo za kivita zenyewe.
-
Iran yaadhimisha Siku ya Arobaini ya Mashahidi wa ghasia za kigaidi
Feb 17, 2026 07:12Wairani leo wanashiriki katika hafla kubwa ya kitaifa mjini Tehran kuadhimisha siku ya arobaini tangu kuuawa kishahidi kwa watu waliopoteza maisha yao katika mashambulizi ya kigaidi ya Januari 8 na 9.
-
Iran: Ulimwengu unawajibika kukabiliana na ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel
Feb 17, 2026 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa jamii ya kimataifa inawajibika kukabiliana na hatua za utawala wa Israel za kuendelea kukiuka pakubwa sheria katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kikosi cha Majini cha IRGC chafanya luteka Ghuba ya Uajemi, Hormuz
Feb 16, 2026 23:28Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba, Iran inadumisha ufuatiliaji kamili wa kijasusi wa saa 24 katika Lango-Bahari la Hormuz.