-
Hizbullah ina uwezo wa kuipiga Israel kwa makombora 7,500 angamizi
Nov 08, 2025 23:10Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ambayo ina viongozi wapya na kwa kiasi kikubwa viongozi wake hivi sasa ni vijana, imefanikiwa kurejesha nguvu zake na kama Israel itafanya kosa lolote la kipumbavu, basi Hizbullah ina uwezo wa kuitwanga kwa makombora 7,500 angamizi.
-
Israel yaendelea kukanyaga makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Nov 08, 2025 23:09Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kukanyaga makubaliano ya kusimamisha vita Ghaza na umefanya mashambulizi mapya dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa ukanda huo iliouzingira kila upande.
-
UNHCR yahimiza jamii ya kimataifa kuwasaidia wakimbizi wa Sudan nchini Chad
Nov 08, 2025 23:09Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetoa mwito wa dharura wa kusaidiwa sana kimataifa maelfu ya watu waliokimbilia Chad kukwepa mauaji ya kimbari nchini Sudan. Wasudan wanaendelea kumiminika katika nchi jirani ya Chad kutoka eneo la Darfur la magharibi mwa Sidan.
-
Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?
Nov 08, 2025 08:11Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.
-
Iran yautaka Umoja wa Mataifa kurekodi kukiri Trump kuhusika Marekani katika uvamizi dhidi ya Iran
Nov 08, 2025 07:09Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kusajili tamko la Trump la kukiri kuhusika moja kwa moja Marekani katika uchokozi na uvamizi wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Juni mwaka huu.
-
Mahakama ya Uturuki yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu kwa kutenda jinai Gaza
Nov 08, 2025 07:04Mahakama ya Uturuki imetoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, waziri wake wa ulinzi na maafisa wengine 35 wakuu wa Israel kwa tuhuma za "uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari."
-
Wamorocco waandamana kuunga mkono Palestina na kulaani mzingiro Gaza
Nov 08, 2025 07:02Maelfu ya wananchi wa Morocco wameingia mitaani na kushiriki maandamano ya kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kulaani mzingiro dhidi ya Gaza na njama za Israel za kukwamisha upelekaji misaada ya kibinadamu katika ukanda huo.
-
Ehud Barak: Utawala wa Israel umo katika hatari ya kusambaratika kabisa
Nov 08, 2025 06:58Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel Ehud Barak ameonya katika matamshi kuwa utawala wa Israel unaporomoka mbele ya macho ya Wazayuni.
-
Nabih Berri: Haiwezekani kwa Lebanon kuanzisha uhusiano na Israel
Nov 08, 2025 06:55Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza kuwa, yeyote anayetaka kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel anapaswa kujua kwamba, jambo kama hilo haliwezekani.
-
Iran: Madai ya njama ya kumuua balozi wa Israel huko Mexico ni 'uongo mkubwa', Mexico pia yakadhibisha
Nov 08, 2025 04:29Iran imekadhibisha vikali madai yaliyotolewa na Marekani na Israel kwamba Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa na mipango ya kumuua balozi wa Israel nchini Mexico, ikiyataja madai hayo kuwa ni "uongo mkubwa."