-
UNIFIL yasisitiza kuondoka Lebanon wanajeshi wa Israel
Jan 27, 2025 03:38Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kimetaka kuondoka kikamilifu wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko kusini mwa Lebanon.
-
"Walituona kama familia yao"; Mateka wa Israel wamesema nini kuhusu mwenendo wa Kiislamu wa askari wa Hamas?
Jan 27, 2025 02:30Ulinganisho wa hali ya wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa huru na ile ya mateka wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na harakati za ukombozi wa Palestina unaonyesha mienendo ya kibinadamu ya wanamuqawama na ushindi wao katika masuala mengine ya vita vya Gaza.
-
"Hatutajadili mamlaka ya Lebanon", asema Rais Aoun baada ya Israel kuua Walebanon 15
Jan 26, 2025 22:55Rais wa Lebanon, Joseph Aoun amesema "mamalaka ya kujitawala Lebanon na ardhi yake ni jambo lisiloweza kujadiliwa". Amesema hayo baada ya vikosi vya Israel kuwafyatulia risasi na kuwaua Walebanon waliokuwa wamekimbia makazi yao kusini mwa Lebanon na waliokuwa wakirejea katika miji yao, huku muhula wa mwisho wa kuondoka askari hao makatili ukimalizikka.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni hautekelezi makubaliano ya kuondoka Lebanon?
Jan 26, 2025 08:57Utawala wa Kizayuni baada ya kukabiliwa na upinzani mkubwa kutokana na kukataa kuondoa askari wake kusini mwa Lebanon katika muda uliopangwa, sasa umeanza kutoa tuhuma za uongo dhidi ya Iran.
-
HAMAS waitunishia misuli Israel kwa kutokeza hadharani na bunduki zake walizoteka Oktoba 7, 2023
Jan 26, 2025 08:08Katika hatua inayoonekana kuwa ya kuonyesha uwezo wao wa kijeshi na kuutunishia misuli utawala wa Kizayuni wa Israel, wanamapambano wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, jana walijitokeza na bunduki za Israel aina ya Tavor wakati wa makabidhiano ya wanajeshi wanne wa kike wa utawala huo wa Kizayuni katika mji wa Ghaza.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa baada ya askari wa Israel kuwafyatulia risasi raia kusini mwa Lebanon
Jan 26, 2025 08:07Vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel vimewafyatulia risasi raia wa Lebanon wanaorejea makwao katika miji ya kusini mwa nchi hiyo, na kuua watu wasiopungua 11 na kuwajeruhi wengine 83.
-
Rais wa Iraq: Al-Hashd al-Shaabi ni sehemu ya vikosi vya usalama nchini
Jan 26, 2025 03:31Rais wa Iraq amesema kuwa makundi yenye silaha yenye mfungamano na kundi la Hash al Shaabi yanasimamiwa na serikali kuu na ni sehemu ya askari usalama wa Iraq.
-
Hamas: Ukingo wa Magharibi utakuwa uwanja ujao wa vita kati ya Israel na muqawama
Jan 26, 2025 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa inaamini kuwa eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na Israel litakuwa uwanja ujao wa makabiliano makubwa kati ya utawala wa Israel na muqawama wa Palestina.
-
Mateka 200 wa Kipalestina waachiliwa huru; shangwe na furaha zatawala
Jan 25, 2025 23:31Wapalestina 200 waliokuwa wakishikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel wameachiliwa huru ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya ubadilishanaji mateka baina ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Uchunguzi wa maoni: Asilimia 63 ya Wazayuni wanataka Netanyahu ajiuzulu
Jan 25, 2025 22:52Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameendelea kuandamwa na mashinikizo yanayomtaka ajiuzulu hasa baada ya Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya Gaza.