-
Israel yaifungisha virago UNRWA, yataka iondoke Quds kufikia Januari 30
Jan 25, 2025 08:04Utawala wa Kizayuni wa Israel umesema kuwa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) lina hadi mwisho wa mwezi huu wa Januari kuondoka katika mji mtukufu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS kuwaachia askari 4 wanawake wa Israel kwa Wapalestina 200 akiwemo kamanda wa Muqawama
Jan 25, 2025 03:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kamanda maarufu wa Palestina ataachiliwa leo ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya pili ya wafungwa na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza kuanza kutekelezwa wiki iliyopita.
-
Israel haitaondoa askari wake kusini mwa Lebanon kama ilivyoafikiwa, Marekani yaiunga mkono
Jan 25, 2025 02:44Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel halitaondoka kusini mwa Lebanon utakapomalizika muhula uliowekwa wa siku 60 kesho Jumapili kulingana na makubaliano ya kusitisha vita yaliyofikiwa kati ya Israel na harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN: Israel lazima iwajibishe kwa kushambulia mji wa Jenin
Jan 24, 2025 23:28Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake juu ya operesheni za jeshi la Israel katika Ukingo wa Magharibi, ukiwemo mji wa Jenin.
-
Sababu gani zimepelekea kuongezeka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan?
Jan 24, 2025 08:51Katika siku za hivi karibuni, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na walowezi dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan yameongezeka.
-
Ansarullah ya Yemen: Marekani haina haki ya kuzihukumu nchi zingine
Jan 24, 2025 05:49Harakati ya Ansarullah ya Yemen iimetoa radiamali kwa hatua ya Marekani ya kuiweka Yemen katika orodha ya magaidi na kubainisha kwamba, Washington ambayo inahusika na mauaji ya Wapalestina na wasio na hatia haina haki ya kuzihukumu nchi zingine.
-
HAMAS: Muqawama wa watu wa Gaza umeipigisha magoti Israel
Jan 24, 2025 05:48Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kusimama kidete watu wa Gaza na vikosi vya muqawama kumeshinda lengo la utawala unaokalia kwa mabavu la kuwatimua Wapalestina.
-
Vita vya Israel vyaacha mayatima 36,000 na wajane 14,000
Jan 24, 2025 03:29Idadi ya watoto wa Kipalestina walioachwa yatima kutokana na vita vya siku 471 vya mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza imefikia zaidi ya 36,000, huku takriban wanawake 14,000 wakibakia baada ya waume zao kuuawa kufuatia hujuma na mashambulio ya kinyama ya Israel katika ukanda huo.
-
Washington Post: Google imehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 24, 2025 00:03Gazeti la Marekani la Washington Post limefichua ushirikiano wa kampuni ya Google na utawala wa Israel katika mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Matokeo ya usitishaji vita vya Gaza kwa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
Jan 24, 2025 00:02Jeshi na baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wamekabiliwa na hali mbaya kutokana na matokeo ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.