-
Mashambulio makali ya makombora ya Hizbullah kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 16, 2024 03:36Leo Jumatano alfajiri vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza mashambulizi ya makombora kutoka kusini mwa Lebanon katika mji wa Safad ulioko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) na miji inayoizunguka.
-
Wapalestina 55 wauawa katika mashambulizi mapya ya Israel huko Gaza
Oct 16, 2024 01:09Mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya Gaza, ikiwemo Jabalia kaskazini mwa Gaza, yamesababisha vifo vya Wapalestina 55 zaidi.
-
Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah asema Israel ni tishio la kweli kwa dunia
Oct 16, 2024 01:00Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ameonya kuwa sera ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za wengine ni tishio sio tu kwa Palestina bali kwa eneo na dunia nzima.
-
OIC yalaani jinai za Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Oct 16, 2024 00:57Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mwenendo wa kushadidi jinai za kivita za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina hususan katika maeneo ya kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah yatungua ndege ya kivita ya Israel isiyo na rubani
Oct 16, 2024 00:53Wapiganaji wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon wameiangusha ndege ya kivita isiyo na rubani ya jeshi katili la Israel kusini mwa Lebanon sambamba na kuvurumisha makombora katika maeneo ya kijeshi ya Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ili kulipiza kisasi jinai zinazoendelea za utawala wa Tel Aviv dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Uwepo wa Wamarekani katika kambi za kijeshi za utawala wa Israel
Oct 15, 2024 08:33Gazeti la The Guardian, linalochapishwa mjini London, limeripoti kuwepo kwa maafisa wa Marekani katika mikutano ya kila siku inayofanyika katika kambi za kijeshi za utawala ghasibu wa Israel.
-
Arab League: Mauaji ya kimbari ya Israel Gaza yanalenga kuwatimua Wapalestina
Oct 14, 2024 22:48Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani operesheni za mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuzitaja hatua hizo kuwa ni sehemu ya mpango mpana kuwatimua kwa lazima Wapalestina wa eneo hilo.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano katika Ukanda wa Gaza na Lebanon
Oct 14, 2024 22:48Umoja wa Mataifa umesisitizia wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini Lebanon na katika Ukanda wa Gaza kama njia moja ya kuzuia kutokea kwa mzozo zaidi mashariki ya kati, hatua ambayo UN inasema itaathiri dunia nzima.
-
'Hizbullah iko katika mkao wa vita, siku ngumu zinaisubiri Israel'
Oct 14, 2024 10:13Kamanda Mkuu wa zamani wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameuonya utawala haramu Israel kuhusu "siku ngumu" zijazo huku harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ikijiimarisha kivita ili kukabiliana na uvamizi wa Israel.
-
Kushindwa Wazayuni kukabiliana na oparesheni za kibunifu za Hizbullah ya Lebanon
Oct 14, 2024 08:33Shambulio la ubunifu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon katika makao makuu ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, kwa mara nyingine tena limefichua kushindwa na udhaifu wa Wazayuni mkabala wa oparesheni za kijeshi za makundi ya muqawama.