Kila kiumbe kinapenda maisha yake. Mbuni huyu wa huko kusini mwa California nchini Marekani aliamua kutimua mbio kuokoa maisha yake baada ya kuona msitu anaoishi unateketea kwa moto.