-
Ben-Gvir awaruhusu walowezi wa Kizayuni kuimba na kudansi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 28, 2025 05:52Waziri maluuni wa mambo ya ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel Itamar Ben-Gvir ametoa ruhusa kwa walowezi haramu wa Kizayuni kuimba na kudansi kwenye eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu.
-
Jordan yawashutumu walowezi wa Israel kuingia kwa nguvu Al-Aqsa
Jun 04, 2025 02:47Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Wageni ya Jordan imelaani vikali vitendo vya mara kwa mara vya walowezi wa Kizayuni kuvamia Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Waislamu Nigeria wawakumbuka Mashahidi wa Siku ya Quds
May 12, 2025 11:14Taasisi ya 'Wakfu wa Shuhada' ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewakumbuka na kuwaenzi mashahidi 27 waliouawa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo wakati wa maandamano ya amani ya Siku ya Quds ya 2025 huko Abuja, na kusisitiza kujitolea kwao kwa kadhia ya Palestina.
-
Ben-Gvir aagiza kufungwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds
Apr 30, 2025 02:31Waziri wa wa Israel mwenye misimamo ya kufurutu ada, Itamar Ben-Gvir, ameamuru kufungwa kwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds katika eneo la Quds Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni; huu ukiwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni za kimataifa, ukiashiria hatua nyingine ya kichokozi inayowalenga Wapalestina katika eneo hilo.
-
Palestina: Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya chuki wanachochea Msikiti wa Al-Aqsa uripuliwe
Apr 20, 2025 05:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetoa indhari kutokana na kuongezeka uchochezi unaofanywa na makundi ya walowezi wa Kizayuni wa mrengo wa kulia wanaotaka kubomolewa Msikiti wa Al-Aqsa ulioko Baitul-Muqaddas Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Walowezi 1000 wa Kizayuni wavamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na wanajeshi wa Israel
Apr 16, 2025 02:21Katika siku ya tatu ya sikukuu ya pasaka ya Kiyahudi, walowezi elfu moja wa Kizayuni, huku wakisindikizwa na kupewa ulinzi na wanajeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamevamia eneo la Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu.
-
Waziri mlowezi wa Kizayuni avamia tena Msikiti wa Al-Aqsa, Wapalestina wazuiwa wasiingie kusali
Apr 02, 2025 11:30Duru za habari zimeripoti kuwa, waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni mwenye misimamo mikali ya chuki amevamia tena Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa huku akilindwa na kusindikizwa na vikosi vya usalama vya utawala huo ghasibu.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds
Mar 28, 2025 07:45Wananchi Waislamu wa Iran kote nchini wamejitokeza kwa mamilioni kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha mshikamano na Palestina, na kulaani ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa katika Ukanda wa Gaza.
-
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ya mwaka huu itakuwa ya aina yake
Mar 28, 2025 03:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu yanayofanyika leo Ijumaa ya Machi 28 kote duniani yana umuhimu mkubwa kuliko miaka iliyopita.
-
Hamas yataka walimwengu wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono Palestina Siku ya Quds
Mar 27, 2025 11:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ili kuonyesha mshikamano na Gaza na al-Quds wakati huu ambapo Israel, kwa uungaji mkono wa Marekani, inaendelea na vita vyake vya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina Gaza, mkabala wa kimya cha dunia.