Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Zarif: Quds haiuzwi

    Zarif: Quds haiuzwi

    May 30, 2019 03:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Quds haiuzwi na ni kibla cha kwanza cha Waislamu na kituo cha matarajio ya Waislamu wote.

  • Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Sala

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Sala

    May 20, 2019 05:42

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu Wapalestina waliokuwa wakiswali katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem).

  • Jordan kumuita balozi wake wa Romania kupinga hatua ya nchi hiyo dhidi ya Quds

    Jordan kumuita balozi wake wa Romania kupinga hatua ya nchi hiyo dhidi ya Quds

    Apr 17, 2019 23:29

    Jordan imesema kuwa itamuita nyumbani balozi wake wa Romania, ikiwa ni jibu kwa hatua ya nchi hiyo ya Ulaya kutangaza kuwa itauhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kutoka Tel Aviv.

  • Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds

    Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds

    Apr 12, 2019 00:01

    Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliongoza genge la walowezi wa Kizayuni katika kushambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.

  • Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Apr 11, 2019 23:55

    Rais Michel Aoun wa Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, tangazo la Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na umiliki wa utawala vamizi wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria linakinzana na maazimio ya kimataifa.

  • Rouhani: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina na Golan haiwezi kutenganishwa na Syria

    Rouhani: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina na Golan haiwezi kutenganishwa na Syria

    Apr 06, 2019 21:58

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina na miinuko ya Golan ni ardhi ya Syria isiyotenganishika na ardhi nyingine za nchi hiyo na kwamba hatua yoyote iliyo kinyume na hivyo ni kukanyaga maamuzi wa Umoja wa Mataifa na ni kinyume na uhakika wa kihistoria.

  • Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa kaskazini mwa Quds imeongezeka

    Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa kaskazini mwa Quds imeongezeka

    Mar 18, 2019 10:56

    Vyombo vya habari vya Kizayuni leo Jumatatu vimetangaza kuwa kuhani mmoja wa Kizayuni ambaye alijeruhiwa katika oparesheni ya kijana wa Kipalestina karibu na kitongoji cha Ariel kaskazinii mwa mji wa Salfit katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan ameaga dunia.

  • Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Mar 16, 2019 04:26

    Wananchi wa Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kuiunga mkono Masjid al Aqswa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu kinachokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel

    Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel

    Mar 15, 2019 03:51

    Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.

  • Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina

    Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina

    Mar 11, 2019 23:24

    Spika wa Bunge la Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza msimamo wa nchi yake kuhusiana na kuiunga mkono Baytul -Muqaddas na Palestina na kusema kuwa, eneo lote la Quds Tukufu ni mji mkuu wa nchi ya Palestina.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    2 hours ago
  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Hamas: Lengo la utawala wa Israel ni kuhitimisha shughuli za UNRWA

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu athari za mapigano mapya Tigray, Ethiopia

Chaguo La Mhariri
  • Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    21 hours ago
  • Kwa nini fikra ya

    Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

    23 hours ago
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    24 hours ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Pezeshkian: Makosa yote ni ya Marekani, kabla ya vita Hormuz ilikuwa wazi

  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

  • Baada ya kushuhudia 'maafa', wapiganaji wa RSF waamua kujiunga na upande wa jeshi la Sudan

  • EU lazima iwajibishwe kwa uvamizi wa Marekani nchini Iran

  • Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa

  • Ufaransa kuipelekea Saudia msaada wa askari na mitambo ya rada na ulinzi

  • Mkurugenzi wa zamani wa UN: Netanyahu na wenzake lazima watiwe mbaroni

  • Jeshi la Ethiopia: Waasi 272 wa TPLF wameuawa baada ya kushindwa jaribio lao mashambulizi

  • Bei ya dizeli yapaa tena Ulaya, yavunja rekodi ya miaka 21 iliyopita

  • Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi

  • Rais wa Baraza la Ulaya akataa ombi la Trump la kuitaka EU ijitoe kwenye ICC, ICJ

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS