-
England yaangushwa kwa mara ya kwanza na timu ya Afrika
Jun 12, 2025 04:12Timu ya taifa ya Senegal imeandika historia kwa kuichapa England mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa Jumanne mjini Nottingham, Uingereza.
-
WFP: Raia wa Kusini mwa Khartoum wanakabiliwa na tishio la njaa
Jun 11, 2025 22:44Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula WFP limeonya kuwa, maeneo kadhaa kusini mwa mji mkuu wa Sudan, Khartoum yamo hatarini kukumbwa na baa la njaa, kutokana na kuendelea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
-
Sudan yamtuhumu Haftar kwa kuunga mkono wanamgambo wa RSF
Jun 11, 2025 22:43Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imemtuhumu Khalifa Haftar mbabe wa kivita wa Libya kwa kuunga mkono mashambulizi ya Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Rwanda: Nchi za Afrika zitumie teknolojia kuimarisha sekta ya kilimo
Jun 11, 2025 03:50Waziri Mkuu wa Rwanda ametoa mwito kwa nchi za Afrika kukumbatia teknolojia na ubunifu kupiga jeki sekta ya kilimo barani humo.
-
Afrika Kusini yazika miili 30 iliyotelekezwa kwenye mgodi wa dhahabu
Jun 11, 2025 03:49Afrika Kusini jana Jumanne ilifanya maziko ya kwanza ya 'kimaskini' ya miili 30 ambayo haikuchukuliwa na jamaa zao, baada ya kupatikana kwenye mgodi wa dhahabu uliotelekezwa huko Stilfontein, mkoa wa Kaskazini Magharibi mwezi Januari mwaka huu.
-
Msafara wa misaada kutoka Afrika Kaskazini waingia Libya ukielekea Gaza iliyozingirwa na Israel
Jun 10, 2025 23:32Msafara mkubwa wa misaada unaoelekea Ukanda wa Gaza umepita ndani ya mipaka ya Libya Jumanne hii, katika juhudi za kuangazia mzingiro mkali wa Israel dhidi ya eneo hilo la Wapalestina, waandaaji wa msafara wamesema.
-
Sudan Kusini kuanza zoezi la kuwapokonya silaha raia
Jun 10, 2025 08:22Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuwa, inatarajia kuanza zozei la kuwapokonya silaha raia.
-
Ajali mbaya ya barabarani Kenya, watu 33 wafariki dunia na kujeruhiwa
Jun 10, 2025 04:09Watalii sita wamefariki dunia na wengine 27 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea kwenye barabara yenye magari mengi katikati mwa Kenya Jumatatu jioni. Hayo yamethibitishwa na afisa mmoja wa serikali wa eneo hilo.
-
UN yalaani ukiukaji wa makubaliano ya amani Libya
Jun 10, 2025 04:08Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umelaani ukiukaji wa mapatano ya amani katika mji mkuu, Tripoli, ambapo mapigano yalizuka mapema jana Jumatatu kati ya makundi hasimu yenye silaha wakati wa sherehe za sikukuu ya Idul Adh'ha.
-
Kenya: Mwaka mmoja baada ya maandamano ya vijana kupinga mswada wa fedha
Jun 09, 2025 22:45Kenya inaadhimisha mwaka mmoja, baada ya kuzuka kwa maandamano ya vijana maarufu kama Gen Z, kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2024, uliopendekeza nyongeza ya kodi.