-
Togo yathibitisha kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Mpox
May 17, 2025 07:30Togo imethibitisha kesi ya kwanza ya Mpox nchini humo, Wizara ya Afya na Usafi wa Umma ya nchi hiyo imetangaza katika taarifa.
-
Asasi za kiraia, wapinzani wataka kuachiwa huru kinara wa upinzani Congo Brazzaville
May 17, 2025 06:58Vyama vya siasa, mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kiraia zimeedelea kushinikiza kuachiwa huru kinara wa upinzani nchini Congo Brazzaville, anayedaiwa kutekwa nyara hivi karibuni.
-
Zaidi ya askari 1,300 wa DRC wahamishwa kutoka Goma
May 17, 2025 03:56Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, limewahamisha zaidi ya wanajeshi na polisi 1,300 wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kutoka kwenye mji wa mashariki wa Goma unaodhibitiwa na waasi wa M23.
-
Maandamano yazuka mjini Tripoli nchini Libya, mawaziri kadhaa wajiuzulu
May 16, 2025 23:21Maandamano makubwa dhidi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) yalizuka jana Ijumaa mjini Tripoli Libya huku mawaziri kadhaa wakitangaza kujiuzulu.
-
Angola imempa hifadhi Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo aliyefukuzwa madarakani
May 16, 2025 23:17Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo na familia yake wameachiwa kutoka kizuizi cha nyumbani na kuhamishiwa Angola. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Ijumaa na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Joao Lourenco.
-
Kuporomoka ushawishi wa Ufaransa Afrika Kaskazini
May 16, 2025 22:50Kufuatia kuongezeka mvutano wa kidiplomasia kati ya Ufaransa na Algeria, Paris imechukua uamuzi wa kuwafukuza wanadiplomasia wa Algeria walio na hati za kusafiria za kidiplomasia zisizo na visa kujibu mapigo kwa uamuzi wa Algeria wa kuwafukuza wanadiplomasia 15 wa Ufaransa.
-
Umeme wakatika kikamilifu Khartoum kutokana na mashambulizi ya droni za RSF
May 16, 2025 06:48Shirika la Umeme la Sudan alisema kuwa, vituo viwili vya kuzalisha umeme vimeshambliwa kwa droni (ndege zisizo na rubani) za Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) na kusababisha kuwaka moto na kukatika umeme katika mji mkuu.
-
Kadhaa wauawa katika shambulio la droni kusini ya Sudan
May 16, 2025 03:36Watu kadhaa wameripotiwa kuuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa, baada ya ndege isiyo na rubani kushambulia hospitali moja katika mji wa El-Obeid, mji mkuu wa Jimbo la Kordofan Kaskazini kusini mwa Sudan jana Alkhamisi.
-
Watoto nusu milioni waingia hatarini kutoka na ghasia mjini Tripoli Libya
May 15, 2025 22:52Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limesema kuwa, kuongezeka ghasia ndani na karibu na mji mkuu wa Libya, Tripoli, kunatishia usalama wa karibu watoto nusu milioni mjini humo.
-
Rais wa zamani wa Mauritania aongezewa kifungo, sasa ni miaka 15 jela
May 15, 2025 22:51Mahakama ya rufaa ya Mauritania imemhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo, Mohamed Ould Abdel Aziz kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka na utakatishaji fedha.