-
Wafanyabiashara watakiwa kutopandisha bei za bidhaa mwezi wa Ramadhan
Feb 08, 2025 08:51Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kufanya biashara kwa uadilifu na kuwa na huruma kwa wananchi.
-
Afrika Kusini: Tunaendelea kushikamana na wananchi wa Palestina
Feb 08, 2025 04:25Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa nchi hiyo itaendelea kushikakama na kuwa pamoja na wananchi wa Palestina.
-
Maafisa wa SADC na EAC watilia mkazo kusitishwa mapigano mashariki mwa Kongo
Feb 08, 2025 04:19Maafisa wa ngazi ya juu kutoka mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika jana walitilia mkazo kusitishwa mara moja mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuzitaka pande zote husika kutoa kipaumbele kwa suala la kufanya mazungumzo ili kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo.
-
Kwa nini nchi za Kiafrika zinawafukuza wanajeshi wa Ufaransa?
Feb 08, 2025 02:11Domino ya kuwafukuza wanajeshi wa Ufaransa katika nchi za Kiafrika inaendelea, na katika wiki zijazo, vikosi vya jeshi la Ufaransa pia vitaondoka Ivory Coast.
-
Ivory Coast yatangaza tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa nchini humo
Feb 07, 2025 23:28Serikali ya Ivory Coast imeainisha tarehe ya kuondoka wanajeshi 'vamizi' wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yataka uchunguzi wa ukiukaji wa haki katika mji wa Goma
Feb 07, 2025 23:01Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itawasilisha hoja katika Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi wa kile ilichokiita "ukiukwaji mkubwa" wa haki katika mji wa Goma.
-
Jeshi la Sudan laendelea kuyakomboa maeneo yanayoshikiliwa
Feb 07, 2025 22:57Jeshi la Sudan limeendeleza mikakati yake ya kulikomboa eneo la katikati la mji mkuu Khartoum baada ya wiki ya mapambano inayolenga kuyakomboa maeneo mengi yanayodhibitiwa na wanamgambo wa RSF.
-
Askari wengine 144 wa Kenya wapelekwa Haiti kusaidia kurejesha usalama na utulivu nchini humo
Feb 07, 2025 07:23Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Kipchumba Murkomen, amesema jukumu la kudhamini usalama linalotekelezwa na kikosi cha usaidizi cha mataifa kadhaa (MSS) kikiongozwa na nchi hiyo huko Haiti linazidi kuimarishwa na kupata nguvu zaidi ikiwa ni uthibitisho wa namna taifa hilo la mashariki ya Afrika linavyotimiza ahadi yake kwa Jamii ya Kimataifa.
-
Afrika Kusini: Hatutakubali kuburuzwa na Marekani
Feb 07, 2025 04:25Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa, taifa hilo halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa na maajinabi.
-
Nairobi, mwenyeji wa Mkutano wa Ustaarabu wa Iran A/Mashariki
Feb 07, 2025 04:25Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya jana Alkhamisi kilikuwa mwenyeji wa mkutano wa Ubalozi wa Iran wenye kaulimbiu inayosema "Kupekua Ushawishi wa Ustaarabu na Utamaduni wa Kiajemi kwa jamii za Afrika Mashariki."