-
Sauti, Ripoti ya matukio ya Kiislamu yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita
Apr 07, 2017 12:17Ripoti ya matukio ya Kiislamu kuanzia kadhia ya malalamiko ya Mashirika na asasi za kutetea haki za binaadamu zilizotoa kilio kwa serikali ya Tanzania kutokana na kuendelea kuwashikilia korokoroni shakhsia mbalimbali wa Kiislamu nchini humo.
-
SAUTI, Burundi: Wapiganaji wa Kagame ndio walioitungua ndege aliyoipanda Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi yetu
Apr 07, 2017 10:37Serikali ya Burundi imeadhimisha hapo jana mwaka wa 23 tangu kuuawa kwa Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi hiyo.
-
SAUTI, Wapinzani wailaumu serikali ya Rwanda kwa kusema msamaha wa Papa Francis kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda, unatosha.
Apr 05, 2017 12:54Serikali ya Rwanda imetupilia mbali baadhi ya madai ya wakereketwa ambao awali walisema kuwa, Papa Francis hajaomba msamahama ipasavyo kuhusu ya namna Kanisa Katoliki duniani lilivyohusika katika mauaji ya kimbari nchini Rwanda.
-
Wakimbizi wa Rwanda kuanza kurejeshwa nyumbani kutoka Kongo Brazaville
Apr 05, 2017 04:59Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR pamoja na serikai za Rwanda na Congo Brazaville wameafikiana kuwarejesha nyumbani wakimbizi zaidi ya elfu 10 wa Rwanda walioko Jamhuri ya Kongo.
-
Iraq yasisitiza, kuna tofauti kubwa na za kimsingi na Saudi Arabia
Apr 04, 2017 23:37Waziri Mkuu wa Iraq amesema kwamba hitilafu zilizopo baina ya Baghdad na Riyadh ni za muda mrefu na kuongeza kuwa, Wairaq wanaitambua Saudi Arabia kuwa inahusika katika mashambulizi ya kigaidi yanayofanyika nchini humo.
-
SAUTI: Mgomo walemaza harakati za kijamii DRC
Apr 04, 2017 05:52Miji mikubwa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeripotiwa kupooza kufuatia mgomo ulioitishwa na wapinzani wanaoishinikiza serikali isaidi mkataba wa amani uliofikiwa tarehe 31 Disemba mwaka jana. Mossi Mwasi ana maelezo zaidi kutoka Congo Brazzaville.
-
SAUTI: Hali mbaya ya usalama nchini Uganda
Apr 04, 2017 05:37Vitisho vipya dhidi ya usalama wa Uganda hususan usalama wa jeshi la polisi vimejitokeza nchini humo hivi sasa uchunguzi ukiendelea kufanyika kuhusiana na suala hilo. Mwandishi wetu Kigozi Ismail amettumia ripoti ifuatayo:
-
Kuendelea uchukuaji hatua kali za usalama na ukandamizaji katika eneo la Qatif nchini Saudi Arabia
Apr 01, 2017 10:21Vijana wawili wameuliwa na wengine wasiopungua wanne wamejeruhiwa wakati askari wa utawala wa Aal Saud waliposhambulia eneo la Al-Áwamiyyah la Waislamu wa madhehebu ya Shia mkoani Qatif mashariki mwa Saudi Arabia.
-
Onyo la taasisi za kimataifa kuhusu hali mbaya ya Yemen
Mar 27, 2017 23:25Vita vya kivamizi vilivyoanzishwa na Saudi Arabia nchini Yemen vimeingia kwenye mwaka wake wa tatu katika hali ambayo vimeshasababisha maafa makubwa mno ya kibinadamu kiasi kwamba vimeanza kuzifanya taasisi za kimataifa zishindwe kuvumilia tena.
-
SAUTI: Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia tukio la moto huko Zanzibar, nchini Zambia ambapo sasa wazinzi kuanza kukiona cha mtemakuni na kadhalika..
Mar 25, 2017 12:39Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia Zanzibar ambapo hivi karibuni familia moja iliteketea kwa moto na kupelekea viongozi wa kisiasa kuzuru familia hiyo akiwemo Maalim Seif Sharif Hamad.