-
Waislamu Marekani waanzisha kampeni dhidi ya Trump
Jul 21, 2016 01:51Waislamu wa Marekani wameanzisha "Harakati ya Kura Milioni Moja" kwa shabaha ya kukabiliana na misimamo inayopiga vita Uislamu ya mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump.
-
Rais Rouhani ahutubia Mkutano wa Kimataifa wa Mabaraza ya Miji na Mameya
Jul 20, 2016 11:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesiistiza juu ya ulazima wa kuweko ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya kuwa na amani ya kudumu duniani kote.
-
Wananchi wa Yemen wafanya maandamano makubwa kuilaani Marekani
Jul 20, 2016 11:36Maelfu ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano mjini San'a kulaani kuendelea mashambulizi ya kivamizi ya Saudi Arabia na Marekani nchini mwao.
-
UNICEF: Watoto elfu 49 wanakabiliwa na utapiamlo Nigeria
Jul 20, 2016 02:56Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuwa, watoto 49,000 wako katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa na utapiamlo nchini Nigeria.
-
UN: Magaidi wa ISIS yamkini wakaenea Afrika baada ya kushindwa Libya
Jul 19, 2016 09:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh yamkini wakaenea maeneo mengine barani Afrika baada ya kupata pigo kubwa katika mji wa Sirte nchini Libya, ambayo ilikuwa ngome yao.
-
Iran yakosoa ripoti ya Ban kuhusu mapatano ya nyuklia
Jul 19, 2016 09:11Iran imesema ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tehran inavyotekeleza mapatano ya nyuklia imejaa maelezo ambayo hayajakamilika.
-
Ajali haina kinga
Jul 19, 2016 03:59Hawakukosea waliosema, ajali haina kinga. Kipande hiki kifupi cha video kinathibitisha hilo
-
Uvurundo wa karne katika soka
Jul 12, 2016 03:38Hata makosa nayo yanazidiana. Kuna baadhi ya makosa ni "blanda" na uvurundo ambao hufanyika kiutaalamu kiasi kwamba hata aliyefanya uvurundo huo akiambiwa aurudie hawezi kama vinavyoonesha baadhi ya vipande hivi vya sekundi za hatari katika soka...
-
Mtu hafi ila kwa siku yake kufika
Jul 12, 2016 03:35Kuna matukio mbalimbali hutokezea katika maisha ya wanadamu na kuthibitisha kuwa mtu hufa kwa ahadi yake kufika. Moja ya matukio hayo ni la dereva huyu aliyenusurika kifo kwa sekunde chache tu.
-
Viogozi wa Waislamu Kenya walalamikia safari ya Netanyahu
Jul 10, 2016 02:17Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na ziara ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo dhalimu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.