-
Rwanda yakanusha kuwasaidia waasi wa Burundi (Sauti)
Feb 11, 2016 14:46Kwa mara ya kwanza tangu Rwanda iliposhutumiwa na Umoja wa Mataifa kuwa inawaunga mkono waasi ambao Burundi inasema wanahatarisha usalama wake, serikali ya Kigali imekanusha rasmi madai hayo
-
Maadhimisho ya Bahman 22 katika picha
Feb 11, 2016 11:57Madhimisho ya mamilioni ya watu ya miaka 37 ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, yamefanyika leo kwa kufana mto mjini Tehran na katika zaidi ya miji 1000, mikoa, wilaya na kata na katika zaidi ya vijiji 4000 ndani ya Iran.
-
Video: Kuingia kwenye maji ya Iran kwawaponza wanajeshi wa Marekani
Feb 06, 2016 08:26Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH limewatia mbaroni wanajeshi 10 wa Marekani baada ya wanajeshi hao kuingia katika maji ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Waislamu Kenya walaani kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman
Feb 06, 2016 08:21Wataalamu wanawake wa Kiislamu nchini Kenya kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman.
-
Museveni: Hakuna machafuko yatakayotokea Uganda wakati wa uchaguzi
Feb 06, 2016 08:03Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewatoa hofu wananchi wa nchi hiyo akisema hakuna fujo zitakazotokea wakati au baada ya uchaguzi kama inavyodaiwa na baadhi ya wanasiasa