-
Mrusha mkuki wa Iran katika Paralimpiki apokonywa dhahabu kwa kupeperusha bendera ya kidini
Sep 08, 2024 03:31Mwanariadha wa Iran Beit Sayyah, ambaye alinyakua medali ya dhahabu na kuweka rekodi mpya ya Paralimpiki (Olimpiki ya Walemavu) katika kategoria ya F41 ya mchezo wa kurusha mkuki kwa wanaume amepokonywa dhahabu hiyo katika hatua iliyozua utata.
-
Iran yanyakua dhahabu, yashika nafasi ya 9 katika Olympiad ya Kompyuta 2024 nchini Misri
Sep 08, 2024 01:07Wanafunzi wa Iran wamefanya vizuri katika mashindano ya Olympiad ya Kompyuta 2024 nchini Misri na kujishindia medali ya dhahabu, fedha mbili na shaba moja.
-
Iran: Taasisi za kimataifa zina wajibu wa kuzuia jinai za Wazayuni katika Ukingo wa Magharibi
Sep 08, 2024 01:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, nchi na taasisi za kimataifa zina wajibu wa kimaadili, kiutu na kisheria wa kuzuia utawala wa Kizayuni wa Israel kutenda tena jinai za kivita katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran yakanusha madai ya Magharibi: Hatujaipatia Russia makombora yoyote ya balestiki
Sep 07, 2024 08:23Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha madai kwamba inaipatia Russia makombora ya balestiki na kusisitiza kuwa madai hayo yanayotolewa na Marekani na washirika wake wa Magharibi ni ya upotoshaji na hayana msingi wowote.
-
Araghchi asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Serbia
Sep 07, 2024 03:49Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesitiza umuhimu wa kutumia rasilimali zote zilizopo ili kuimarisha uhusiano kati ya Iran na Serbia, hasa katika sekta ya uchumi.
-
Iran: Adui anatiwa kiwewe na ustawi na maendeleo yetu ya nyuklia
Sep 06, 2024 23:42Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amezungumzia maendeleo ya kupigiwa mfano iliyopata Jamhuri ya Kiislamu katika upande wa nishati ya nyuklia na kusema kuwa, licha ya kuweko vikwazo haramu vya Marekani dhidi yetu, lakini tumepiga hatua kubwa za maendeleo; na mabeberu wanatiwa kiwewe na ustawi wetu wa nyuklia.
-
Bahrain yataka kuimarisha uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Sep 06, 2024 23:18Bahrain imesisitiza juu ya umuhimu wa kuimarisha uhusiano kati yake na Jamhurii ya Kiislamu ya Iran.
-
Maghala ya nyuklia ya Israel tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia
Sep 06, 2024 23:00Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kikanda na wa ulimwengu mzima.
-
Sera ya kuunga mkono Palestina, kipaumbele cha serikali ya 14
Sep 06, 2024 09:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuunga mkono muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni moja ya vipaumbele vya serikali ya 14 na sehemu muhimu ya nguzo za siasa za nje za Iran.
-
Ayatullah Khatami: Israel inazidi kujiangamiza
Sep 06, 2024 07:30Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amegusia nasaha 13 za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kwa Serikali ya 14 ya Iran na kusema kuwa, mafanikio ya serikali hiyo yako chini ya kivuli cha kutekeleza kivitendo nasaha hizo za Kiongozi Muadhamu.