-
Rais wa Iraq asisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Dec 02, 2025 09:54Rais wa Iraq amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Watetezi wa Haki za Binadamu wataka ICC iwakamate Netanyahu na Gallant kwa uhalifu wa vita Gaza
Dec 02, 2025 09:53Kundi la mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutekeleza hati za kukamatwa zilizotolewa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa masuala ya kijeshi Yoav Gallant, kwa uhalifu wa vita uliofanywa katika vita vya mauaji ya halaiki Gaza.
-
Sakata la usalama, Waziri wa Ulinzi wa Nigeria ajiuzulu
Dec 02, 2025 09:50Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar amejiuzulu, katika kipindi ambacho nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro wa usalama unaojumuisha utekaji nyara wa watoto wa shule kwa wingi.
-
Kwa nini Marekani inafanya njama za kuidhibiti Venezuela?
Dec 02, 2025 03:45Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kulinda rasilimali zake kwa nguvu zote mbele ya tamaa ya kuchupa mipaka ya Marekani.
-
Papa Leo: Kuundwa taifa la Palestina ndio suluhisho pekee la amani
Dec 02, 2025 03:25Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ambaye alikuwa safarini huko Beirut nchini Lebanon, amesema kwamba kuundwa taifa la Palestina ndio chaguo pekee linaloweza kuhakikisha haki kwa Wapalestina na Waisraeli.
-
Araqchi: Mahusiano ya kimataifa yamebadilika na kuwa ya kimabavu kutokana na mienendo ya Marekani
Dec 02, 2025 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Baada ya raundi tano za mazungumzo, wakati Iran ilipokuwa ikijiandaa kwa raundi ya sita, Marekani ilikiuka njia ya kidiplomasia na juhudi za upatanishi."
-
Viongozi wa Afrika watoa wito wa kutambuliwa rasmi uhalifu wa enzi za ukoloni na kulipwa fidia
Dec 02, 2025 02:55Viongozi wa Afrika waliokutana Algiers siku ya Jumapili walitoa wito wa kutambuliwa rasmi uhalifu uliofanyika enzi za ukoloni barani Afrika, ufanywe kuwa ni uhalifu na kulipwe fidia kupitia mchakato unaoungwa mkono na Umoja wa Afrika.
-
ICC: Vikwazo vya Marekani vimewaathiri majaji, hatutasalimu amri kwa shinikizo lolote
Dec 02, 2025 02:54Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Jaji Tomoko Akane, amesema kwamba vikwazo vya Marekani vilivyowekwa dhidi ya maafisa wakuu na majaji wa mahakama hiyo vimeathiri moja kwa moja maisha binafsi ya majaji na maafisa walengwa.
-
Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Denis Mukwege: Makubaliano ya amani kati ya Kinshasa na M23 ni 'haramu'
Dec 02, 2025 02:53Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Dkt. Denis Mukwege amelaani mchakato wa amani unaoendelea kati ya serikali ya Kinshasa na waasi wa M23 unaolenga kukomesha mapigano mashariki mwa DRC.
-
Afisa wa jeshi la Uingereza: Tuliua makumi ya Waafghani, maafisa walificha uhalifu huo
Dec 01, 2025 23:54Afisa wa zamani wa jeshi la Uingereza amefichua mauaji yaliyofanywa na askari wa kikosi maalumu cha Uingereza nchini Afghanistan na jinsi makamanda wa kikosi hicho walivyonyamazia kimya na kuficha uhalifu huu.