-
Nini madhumuni ya kuzidisha mashambulizi dhidi ya Yemen?
Jan 12, 2025 09:09Marekani, Uingereza na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine tena zimeanzisha mashambulizi ya pamoja na makali dhidi ya Yemen.
-
Zaidi ya Wapalestina 4,000 wamekuwa vilema katika mashambulizi ya Israel Gaza
Jan 12, 2025 08:33Hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha zaidi ya Wapalestina 4,000 kuwa vilema.
-
Wanamichezo 708 wameuawa shahidi tangu kuanza vita vya Gaza
Jan 12, 2025 08:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Vyombo vya Habari vya Michezo vya Palestina ametangaza kuwa, wanamichezo 708 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya Gaza.
-
Al-Houthi: Wazayuni ni nembo ya unyama na ukatili
Jan 11, 2025 23:32Muhammad Ali al-Houthi mmoja wa viongozi waandamizi wa Haarakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala haramu wa Israel ni nembo ya wazi kabisa ya unyama na ukatili.
-
Idadi ya watu waliouawa shahidi Gaza yapindukia 46,000
Jan 11, 2025 23:31Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu kuanza hujuma ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni huko Gaza (Oktoba 7, 2023) imepindukia mashahidi 46,000.
-
Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel
Jan 11, 2025 23:09Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel dhidi ya watu wa Gaza, baridi kali pia imezidisha idadi ya watoto wanaoaga dunia hasa watoto wachanga katika ukanda huo.
-
Askari wa Kizayuni ashtakiwa Sweden kwa kushiriki katika vita vya Gaza
Jan 11, 2025 10:11Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuhusiana na kuwasilishwa mashtaka dhidi ya mwanajeshi wa utawala wa Kizayuni huko nchini Sweden kutokana na kushiriki katika jinai za kivita huko Gaza.
-
Ripota Maalumu wa UN: Poland inapaswa kumkamata Netanyahu
Jan 11, 2025 03:12Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
HAMAS: Vitisho vya Trump havitutii hofu yoyote
Jan 11, 2025 00:09Mjumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "Vitisho vya Marekani havina umuhimu wowote kwa wananchi wa Palestina. Wapalestina wanajua kwamba wako kwenye haki na wanapigania haki na malengo yao matakatifu ili waweze kuishi katika nchi yao wenyewe kama walivyo watu wa mataifa mengine duniani".
-
Umoja wa Mataifa: Israel imeua wafanyakazi karibu 370 wa misaada Ukanda wa Gaza
Jan 10, 2025 23:27Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa Israel imewaua takriban wafanyakazi 370 wa kutoa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, na kuonya kwamba mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya wafanyakazi wa misaada, misafara na vituo mbalimbali yamezuia kwa kiasi kikubwa jitihada za kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina linalozingirwa.