-
OIC yaunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa la kukomesha kuikalia kwa mabavu Palestina
Sep 19, 2024 23:01Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imepongeza na kulipokea kwa mikono miwili azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linaloitaka Israel kukomesha uwepo wake kinyume cha sheria katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu ndani ya mwaka mmoja.
-
Askari kadhaa wa Israel waangamizwa katika mashambulizi ya Hizbullah
Sep 19, 2024 10:39Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Ansarullah ya Yemen yalaani operesheni ya kigaidi ya utawala katili wa Israel dhidi ya Lebanon
Sep 19, 2024 03:02Ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imelaani vikali operesheni ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na kuitaja kuwa ni jinai ya kivita.
-
Hizbullah yaapa kuendelea kuwatetea watu wa Gaza, yasema ukatili wa Israel unaimarisha azma yake ya kupambana na utawala huo
Sep 18, 2024 08:18Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeapa kuendeleza mashambulizi yake dhidi ya utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea watu wa Ukanda wa Gaza, ambao wanaendelea kuuawa kikaktili katika mauaji ya kimbari ya Israel, ikisisitiza kwamba ukatili wa hivi karibuni wa utawala huo ulioua watu kadhaa nchini Lebanon utaimarisha azma yake ya kuendeleza njia ya mapambano na muqawama.
-
Wizara ya Afya ya Gaza yachapisha orodha ya Wapalestina waliouawa katika mauaji ya kimbari ya Israel
Sep 18, 2024 01:14Wizara ya Afya ya Gaza imechapisha ripoti inayoelezea jina, umri, jinsia na nambari za vitambulisho vya makumi ya maelfu ya Wapalestina waliouawa katika mashambulizi ya jeshi katili la utawala dhalimu wa Israel katika kipindi cha miezi 11 iliyopita tangu utawala huo uanzishe vita vyake vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Hizbullah imetekeleza mashambulizi 163 mwezi huu dhidi ya Israel
Sep 17, 2024 04:37Shirika la Redio na Televisheni la utawala bandia wa Israel limetangaza kuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imefanya mashambulizi 163 kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) mwezi huu wa Septemba.
-
HAMAS yapongeza shambulio la kombora la Yemen dhidi ya Israel
Sep 17, 2024 04:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amepongeza na kusifu hatua ya jeshi la Yemen ya kushambulia eneo la jeshi la Israel huko Tel Aviv kwa kombora jipya la balistiki la hypersonic.
-
Mkuu wa Misaada ya UN Gaza: Ulimwengu unawaangusha raia wasio na hatia
Sep 16, 2024 23:35Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia misaada Gaza amesema kuwa, jami ya kimataifa kwa pamoja inawaangusha raia wasio na hatia katika ukanda huo.
-
Kombora la jeshi la Yemen dhidi ya Tel Aviv; kushindwa kukubwa kwa ulinzi wa anga wa utawala wa Kizayuni
Sep 16, 2024 22:57Ikiwa ni katika kuendelea kuwatetea wananchi wa Ukanda wa Gaza dhidi ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni, Harakati ya Ansarullah ya Yemeni imelenga mji wa Tel Aviv kwa kombora la balistiki ambapo mifumo ya ulinzi wa anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeshindwa kuzuia kombora hilo.
-
HAMAS yataka kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa Palestina
Sep 16, 2024 08:32Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa wito wa kuundwa kwa serikali ya "muafaka wa kitaifa" kwa ajili ya kusimamia masuala ya Wapalestina.