-
Wanamuqawama washambulia kwa droni kambi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria
Feb 22, 2024 03:36Wanamuqawama wameishambulia kambi ya kijeshi na vikosi vamizi vya Marekani huko mashariki mwa Syria kwa kutumia ndege isiyo na rubani (droni).
-
Gazeti la Kizayuni: Wanajeshi wa Israel ni wezi wakubwa
Feb 21, 2024 23:10Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limelazimika kukiri kuwa wanajeshi wa Israel ni waporaji na wezi wakubwa kutokana na kukithiri ujambazi na wizi wa majumbani wa wanajeshi hao katika maeneo mbalimbali ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghazza.
-
China yalaani veto ya Marekani kupinga kusitishwa kwa vita mara moja Gaza
Feb 21, 2024 04:08China imelaani vikali hatua ya Marekani ya kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Jihad Islami: Wapigania ukombozi wa Palestina wameisababishia Israel hasara kubwa
Feb 20, 2024 22:53Mrengo wa muqawama au wapigania ukombozi wa Kiisalmu wa Palestina wameusababishia utawala haramu wa Israel "hasara kubwa" licha ya kuwa "zana chache kijeshi."
-
Matukio ya Magharibi mwa Asia; ajenda kuu ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Saudi Arabia
Feb 20, 2024 22:48Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamejadili kuhusu matukio ya kieneo na kimataifa, vikiwemo vita vya Gaza na kuimarisha uhusiano wa simu.
-
HAMAS yasisitiza tena: Hakuna kubadilishana mateka bila ya usitishaji kamili wa vita
Feb 20, 2024 03:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa itakubali kutekeleza makubaliano ya kubadilishana mateka na utawala wa Kizayuni wa Israel, pale tu utawala huo ghasibu utakapokubali kusitisha vita kikamilifu na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingizwa katika Ukanda wa Ghazza.
-
UN: Jeshi la Israel limewabaka, limewapiga vibaya na kuwanyima chakula na dawa wanawake Wapalestina
Feb 20, 2024 03:36Mamia ya wanawake na wasichana wa Kipalestina katika maeneo ya Ghazza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu wamekuwa wakiwekwa kizuizini kiholela na jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel tangu Oktoba 7, na kuripoti kuwa wamebakwa, kupigwa vibaya na kunyimwa chakula na dawa na askari wa jeshi hilo.
-
Kuanza kusikilizwa na ICJ shauri kuhusu Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina
Feb 20, 2024 03:15Jumatatu ya jana tarehe 24 Februari 2024, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilianza kusikiliza shauri la kihistoria la kuamua kuhusu uhalali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kuzivamia na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Mohammad Nazal: Yahya Sinwar ni mzima na anaongoza mapambano Ghaza
Feb 20, 2024 01:03Mjumbe mmoja mwandamizi wa Tawi la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, Yahya Sinwar ni mzima na anaendelea na shughuli zake za kuiongoza harakati hiyo ndani ya Ukanda wa Ghaza na kwamba atabakia kwenye wadhifa huo na hakuna hitilafu zozote kwenye safu ya viongozi wa HAMAS.
-
Mamlaka ya Palestina: Hamas ni sehemu muhimu ya medani ya siasa ya Palestina
Feb 19, 2024 22:53Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa, Harakati ya Mambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ni sehemu muhimu ya uwanja wa kisiasa wa Palestina.