-
Baada ya HAMAS kuitwanga tena kwa makombora Tel Aviv; Wazayuni wasema: tumechanganyikiwa
Jan 01, 2024 23:19Zawadi ya mwaka mpya wa 2024 ya HAMAS kwa utawala wa Kizayuni ilikuwa ni kuutwanga tena kwa makombora mji mkuu wa Israel, Tel Aviv, katika dakika za awali kabisa za kuanza mwaka mpya. Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kuchanganyikiwa na kusema kuwa, HAMAS imeshinda vita.
-
Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel
Jan 01, 2024 23:19Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limefichua kuwa, tangu ilipoanza operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa hadi hivi sasa, zaidi ya wakazi laki tatu wa utawala wa Kizayuni wameingia kwenye orodha ya watu wenye matatizo ya akili na saikolojia huko Israel.
-
Waandamanaji Uturuki: Marekani ndiye shetani halisi
Jan 01, 2024 08:25Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamekusanyika nje ya Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini Istanbul katika maandamano ya kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza wanaoendelea kukabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Israel.
-
HAMAS yalaani pendekezo la kuwafurusha wakazi wa Gaza
Jan 01, 2024 08:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria mpango wa Israel wa kuwafukuza kwa umati Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa, pendekezo la viongozi wa utawala huo wa Kizayuni la kutaka kupunguzwa idadi ya wakazi wa Gaza ni jinai ya kivita.
-
Kuachishwa kazi Waziri wa Mambo ya Nje; matokeo ya kwanza ya kisiasa ya vita vya Gaza
Jan 01, 2024 07:07Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje wa Baraza lake la Mawaziri katika siku ya mwisho ya 2023.
-
Rais wa Iran katika ujumbe wa mwaka mpya: Mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina Gaza yakomeshwe
Jan 01, 2024 04:29Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema anatumai jumuiya ya kimataifa itachukua hatua za haraka katika mwaka mpya ili kukomesha mauaji yanayoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza.
-
UNRWA: Asilimia 40 ya watu wa Gaza wanakabiliwa na hatari ya njaa
Jan 01, 2024 04:21Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeonya kwamba asilimia 40 ya wakazi milioni 2.3 wa Gaza wanakabiliwa na hatari ya njaa, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo linalozingirwa.
-
Sharaf: Mashambulizi dhidi ya meli zinazoelekea Israel katika Bahari ya Sham ni 'uamuzi wa Yemeni'
Jan 01, 2024 04:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen, Hisham Sharaf amepinga vikali madai ya Marekani kuhusu nafasi ya Iran katika kusaidia Yemen kushambulia meli zinazomilikiwa na Israel katika Bahari ya Sham (Bahari Nyekundu) akisema uamuzi huo umetolewa tu na serikali ya Yemen na vikosi vya jeshi vinavyounga mkono Wapalestina katika eneo linaozingirwa la Ukanda wa Gaza.
-
Euro-Med Monitor: Jeshi la Israel linaiba, kupora mali za Wapalestina huko Gaza
Dec 31, 2023 23:35Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limefichua kuwa pamoja na kuua maelfu ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, vikosi vya jeshi la Israel pia vimekuwa vikiendesha zoezi la uporaji wa kimfumo katika nyumba za Wapalestina kwenye eneo hilo linalozingirwa, na kuiba mali zao.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yapongeza hatua ya Afrika Kusini ya kufungua kesi dhidi ya Israel katika ICJ
Dec 31, 2023 23:33Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Palestina imekaribisha kwa mikono miwili hatua ya Afrika Kusini ya kuwasilisha kesi katika katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kutekeleza jinai na mauaji ya halaiki.