-
YouTube yafunga mitandao 18 ya harakati ya Ansarullah ya Yemen
Jul 18, 2023 04:48Idara ya Habari za Vita vya Yemen imetangaza kuwa kampuni ya YouTube imechukua hatua ya uhasama ya kufunga mitandao 18 inazohusishwa na Ansarullah.
-
Wabunge wa Jordan wasisitiza kususia bidhaa za Uswidi ili kulalamikia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jul 18, 2023 00:04Wabunge wa Jordan wameiandikia barua serikali ya nchi hiyo ya Kiarabu wakilaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu hivi karibuni nchini Uswidi na kutoa wito wa kususia bidhaa za nchi hiyo.
-
Indhari kuhusu njama ya Israel ya kupora maeneo ya akiolojia ya Wapalestina
Jul 17, 2023 23:06Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) imeonya kwamba, utawala haramu wa Israel unapanga kuteka maeneo ya kiakiolojia ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi,
-
Malengo ya safari ya Mohammed Shia' Al Sudani nchini Syria
Jul 17, 2023 09:38Waziri Mkuu wa Iraq amefanya safari ya kuitembelea Syria ambayo ni ya kwanza kufanywa na waziri mkuu wa nchi hiyo huko Syria baada ya miaka 12. Mohammed Shia' Al Sudani amekutana na kuzungumza na Rais wa Syria, Bashar al-Assad.
-
Muhammad Shia al-Sudan: Msimamo wa Iraq kuhusu Palestina ni thabiti
Jul 17, 2023 04:08Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, msimamo wa nchi yake kuhusiana na malengo matukufu ya Palestina ni thabiti na si wenye kutetereka.
-
Mufti wa Lebanon: Marekani inakwamisha zoezi la kuchaguliwa Rais wa Lebanon
Jul 17, 2023 04:08Mufti wa Lebanon amesema kuwa, Marekani inafanya njama za kukwamisha mchakato wa kuchaguliwa Rais wa nchi hiyo na kubainisha kwamba, Washington ndio kizingiti kikuu katika uwanja huo.
-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Jul 17, 2023 01:02Wazayuni maghasibu wenye misimamo ya kufurutu ada Kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Israel imeua Wapalestina 200 mwaka huu wa 2023
Jul 15, 2023 23:29Idadi ya vifo vya Wapalestina imepita 200 mwaka huu kutokana na mashambulizi ya vikosi vya utawala dhalimu wa Israel, jambo linaloashiria mwaka wa vurugu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika Ukingo wa Magharibi katika miongo kadhaa.
-
Wataalamu wa Kisheria: Shambulio la Kijeshi la Israel dhidi ya Jenin ni Uhalifu wa Kivita
Jul 15, 2023 23:23Wataalamu wa sheria wamebaini kuwa sheria za Mkataba wa Geneva kuhusu uhalifu wa kivita zilikiukwa katika shambulio la mauaji la jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin katika sehemu ya kaskazini ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Maandamano ya kuunga mkono Palestina yafanyika nchini Marekani
Jul 15, 2023 06:48Idadi kubwa ya Wamarekani wameandamana katika miji mbalimbali ya Marekani ambapo wametangaza kuwaunga mkono Wapalestina na kulaani pia jinai za Israel katika kambi ya Jenin huko Palestina.