-
UNAIDS: Ugonjwa hatari wa ukimwi kumalizika duniani ifikapo 2030
Jul 15, 2023 06:47Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na virusi vya Ukimwi (UNAIDS) limetangaza kuwa, virusi vya HIV na Ukimwi vinaweza kumalizika kama tishio la afya ya umma ifikapo mwaka 2030.
-
Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah katika kumbukumbu ya vita vya siku 33
Jul 15, 2023 04:00Hotuba iliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika maadhimisho ya mwaka wa 17 tangu baada ya ushindi wa harakati hiyo dhidi ya jeshi la Israel katika vita vya siku 33 vya 2006, kama kawaida, imegusa pande zote na kutoa majibu kwa masuala muhimu zaidi yanayoshughulisha fikra za watu kwa sasa.
-
Wairaqi walaani njama za Marekani za kutaka kuwaua viongozi wa muqawama
Jul 15, 2023 03:18Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad, kupinga na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo, na vile vile njama za Washington za kutaka kuwaua kigaidi viongozi wa kambi ya muqawama nchini humo.
-
Afisa wa kijeshi wa Israel: Kila kitu kinakwenda kwa manufaa ya Hizbullah
Jul 14, 2023 23:15Afisa mmoja wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa, hivi sasa jamii ya Israel imekaribia mno kwenye nukta iliyotangazwa miaka 23 iliyopita na Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah aliposema kuwa jamii ya Wazayuni ni dhaifu kuliko nyumba ya buibui.
-
Bunge la Ulaya lataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina
Jul 14, 2023 07:50Katika kikao chake cha hivi karibuni kabisa, Bunge la Ulaya limeutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa umoja huo kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
-
Hamas: Mustakabali wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel
Jul 14, 2023 03:57Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Hamas amesema: Mustakhbali mbaya na wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kupanuka kwa muqawama na mapambano ni ishara ya mustakbali mbaya wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Masjidul-Aqswa
Jul 13, 2023 08:13Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Seyyid Nasrullah: Lengo la kuvunjia heshima Qur'ani ni kuzusha fitina baina ya Waislamu na Wakristo
Jul 13, 2023 06:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, lengo la kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kutaka kuzusha hitilafu baina ya Waislamu na Wakristo.
-
Ansarullah yatahadharisha kuhusu taathira za kiuchumi za kuendelea mzingiro Yemen
Jul 13, 2023 04:18Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuhusu taathira za kiuchumi za kuendelea kuzingirwa nchi hiyo na muungano vamizi wa Saudia.
-
Kuwait kuchapicha nakala laki moja za Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kisweden
Jul 11, 2023 23:40Serikali ya Kuwait itasambaza nakala 100,000 za Qur'ani Tukufu nchini Sweden zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kiswidi.