-
SAUTI: Kongamano la viongozi wa Afrika la Sayansi na Teknolojia lamemalizika Kigali, Rwanda bila kufikiwa makubaliano
May 12, 2017 12:31Kongamano la siku tatu lililokuwa likifanyika mjini Kigali, Rwanda kuhusiana na masuala ya sayansi na teknolojia limemalizika bila kufikiwa makubaliano tarajiwa.
-
SAUTI: Uhaba wa fuel nchini Burundi umeendelea kushuhudiwa, licha ya juhudi za serikali ya nchi hiyo kufanyika bila mafanikio
May 09, 2017 12:52Na nchini Burundi uhaba wa fuel kwa ajili ya vyombo vya usafiri umeendelea kushuhudiwa licha ya serikali ya Bujumbura kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kupitisha sharia mpya za ugavi wa nishati hiyo.
-
Waafghani: Iran ndio inafanya juhudi kubwa kurejesha amani nchini kwetu
May 08, 2017 23:49Licha ya Marekani na washirika wake katika eneo kueneza propaganda chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Afghanistan, wamekaribisha na kupongeza juhudi za taifa hili kwa ajili ya kudumisha usalama na amani nchini mwao na nafasi ya Tehran katika uwanja huo.
-
SAUTI: Viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika wakamilisha kikao chao mjini Kigali Rwanda na ajenda ya 'kuchapa kazi na kuachana na maneno'
May 08, 2017 12:17Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za bara la Afrika wamekamilisha kikao chao cha faragha kilichodumu kwa siku mbili mjini Kigali, Rwanda.
-
Macron ashinda uchaguzi wa rais wa Ufaransa
May 08, 2017 08:31Emmanuel Macron mgombea huru wa kiti cha urais wa Ufaransa amemshinda mpinzani wake wa mrengo mkali wa kulia Marine Le Pen kwa kupata asilimia 66.1 ya kura zilizopigwa katika duru ya pili ya uchaguzi na hivyo kupata fursa ya kuwa rais mpya wa nchi hiyo.
-
Sisitizo la Waziri wa Ulinzi wa Iran la kufuatilia nyendo na harakati zote za adui
May 07, 2017 23:32Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia, kulindwa uthabiti, usalama na kuwepo mlingano wa nguvu katika sekta tofauti na kuongeza kuwa, uwezo na nguvu ya kujilinda katika mazingira ya sasa ya eneo, ni suala ambalo haliwezi kuepukika.
-
SAUTI: Waandishi Burundi walalamikia wanavyobanwa, mazingira hatari na ukosefu wa usalama kazini
May 04, 2017 13:34Mkuu wa kituo cha waandishi habari nchini Burundi amesema, maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yanafanyika wakati waandishi nchini humo wakifanya kazi katika hali ya woga kiasi kwamba katika kipindi cha miaka miwili ya mzozo wa nchi hiyo uhuru wa vyombo vya habari umebakia katika maandishi na si katika vitendo. Maelezo zaidi na mwandishi wa Bujumbura, Hamida Issa...
-
SAUTI: Wimbi la kushambuliwa raia wa Kenya waliojitoa kwenye kundi la kigaidi la al Shabab
May 03, 2017 13:46Familia zilizo na ufahamu wa watoto wao kujiunga na harakati za kundi la kigaidi la al-Shabab nchini Somalia zimetakiwa kujitokeza na kutoa ripoti kwa vyombo vya usalama ya Kenya.
-
SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
May 02, 2017 12:13CUF yakosoa Muungano wa Tanzania
-
Baadhi ya picha za Kiongozi Muadhamu alipoonana na Wafanyakazi Mei Mosi
May 02, 2017 03:10Katika maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonana na wafanyakazi wa sekta mbalimbali wa Iran hapa mjini Tehran. Hizi hapa baadhi ya picha za mkutano huo.