-
SAUTI: Rais Kenyata wa Kenya, nitaongezea asilimia 18 ya mshahara, pia Wakenya wasiende nchi za Kiarabu kufanya kazi za ndani
May 01, 2017 12:26Kwa mara ya kwanza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amehudhuria sherehe za wafanyakazi nchini humo Mei Mosi zilizoadhimishwa duniani kote hii leo.
-
Qassemi: Marekani inatumia viwango vya undumakuwili katika kupambana na ugaidi
May 01, 2017 09:17Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inatumia viwango vya undumakuwili katika kupambana na ugaidi.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria
Apr 28, 2017 22:00Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Alkhamisi jioni katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, kimejikita kwenye hali ya kibinadamu katika nchi ya Syria iliyoharibiwa vibaya na vita.
-
SAUTI, Muungano wa upinzani nchini Kenya, wategua kitendawili kwa kumtangaza rasmi mgombea wao kwenye uchaguzi ujao
Apr 27, 2017 12:29Muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA umemtangaza rasmi aliyekuwa makamu wa rais wa wa nchi hiyo Raila Odinga, kupeperusha bendera ya upinzani katika uchaguzi ujao.
-
SAUTI, Serikali ya Burundi yapiga marufuku misaada ya Shirika la WFP kuingia nchini humo kupitia Rwanda
Apr 27, 2017 12:25Hatua ya serikali ya Burundi ya kupiga marufuku kuingia nchini humo shehena ya misaada yakibinaadamu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakuka Duniani (WFP), kupitia mpta wa nchi jirani ya Rwanda, imelalamikiwa na viongozi wa shirika hilo.
-
Wakorea Kusini: Hatutaki Marekani iweke ngao yake ya makombora nchini kwetu
Apr 27, 2017 11:30Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano kulalamikia uamuzi wa serikali wa kukubali kuweka ngao ya makombora ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Taasisi za kiraia Niger zatahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi
Apr 24, 2017 22:53Jumuiya ya Wasomaji Bingwa wa Qur'ani na taasisi nyingine kadhaa zisizo za serikali nchini Niger zimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi walioko katika maeneo ya kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Ukungu wa giza wa uchaguzi wa rais nchini Ufaransa
Apr 22, 2017 23:53Shambulizi la kigaidi lililofanyika majuzi katika mtaa wa Champs-Élysées mjini Paris, Ufaransa siku kadhaa kabla ya uchauzi wa rais wa nchi hiyo si tu kwamba umezidisha anga ya kipolisi nchini humo, bali pia limezidisha wingu la giza kuhusu matokeo ya uchaguzi huo kwa kuathiri kiwango cha uungaji mkono wa raia kwa wagombea wa nafasi hiyo.
-
Watu wa Iran wanafuata njia ya ustawi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Apr 17, 2017 09:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema watu wa Iran wanafuata njia wanayoiona ni yenye maslahi kwao na kwamba wataendelea kufuata njia ya ustawi na ujenzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
SAUTI: Vijana Rwanda watakiwa kujihadhari na ukoloni mamboleo
Apr 16, 2017 03:12Serikali ya Rwanda imewataka raia wake hasa vijana kutambua hila na njama za ukoloni mamboleo unaofanywa na nchi za kigeni hasa zile za Magharibi. Kwa upande wa vijana wakati huu ni ule wa kuzipenda nchi zao za Kiafrika na kuepuka kufikiria nchi zilizoendelea. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.