-
Majaribio mapya ya makombora ya Korea ya Kaskazini; dhihirisho la nguvu mbele ya Marekani
Apr 15, 2017 22:20Korea ya Kaskazini leo asubuhi kwa mara nyingine tena imeyafanyia majaribio makombora yake ya balistiki sambamba na kuanza hafla ya kumbukumbu ya mwaka wa 150 wa kuzaliwa mwasisi wa taifa hilo Kim Il Sung.
-
SAUTI: Uteuzi wa Bruno Tshibala kuwa Waziri Mkuu Kongo DR, waufanya uhusiano wa nchi hiyo na Ubelgiji kuingia doa
Apr 14, 2017 12:53Uhusiano kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ubelgiji, umeingia doa kufuatia masuala ya kisiasa yanayoshuhudiwa ndani ya nchi hiyo ya katikati mwa Afrika.
-
Shakhsia wakubwa wa kisiasa na kidini Iran waandikisha majina yao kugombea urais; yumo Rais Rouhani na Raisi
Apr 14, 2017 11:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesajili jina lake kwenye Tume ya Uchaguzi kama mgombea wa duru ya 12 ya uchaguzi wa rais nchini.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda yaendelea kuinyoshea Ufaransa kidole cha lawama kwa kuhusika katika mauaji ya kimbari mwaka 1994, manusura wasimulia
Apr 13, 2017 12:47Manusura wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 huko wilaya ya Karongi magharibi mwa nchi hiyo, wameyalaani majeshi ya Ufaransa kwa kuhusika kwao kwa kiwango cha juu kwenye mauaji hayo.
-
SAUTI, mateso ya Wakenya ughaibuni yaifanya idara ya uhamiaji Kenya kupunguza mawakala wanaowafirisha raia wa nchi hiyo kwenda nchi za Kiarabu
Apr 13, 2017 12:31Idara ya uhamiaji nchini Kenya imepunguza mawakala wanaojihusisha na kusafirisha raia wa Kenya kwenda kufanya kazi katika mataifa ya Mashariki ya Kati kutoka 500 hadi 23 katika kile ilichokieleza kuwa ni kuleta uwajibikaji katika shughuli hizo.
-
SAUTI: Radio Tehran yahojiana na wakimbizi wa Rwanda mjini Brazzaville
Apr 11, 2017 02:38Wakimbizi kutoka Rwanda wanaoishi nchini Kongo Brazzaville wamefanya maombi ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari yaliyojiri nchini mwao mwaka 1994. Mwandishi wa Radio Tehran aliyeko mjini Brazzaville amefanya mahojiano maalumu na mwakilishi wa wakimbizi hao...
-
SAUTI: Makumi ya shule zina hatari ya kufungwa Burundi
Apr 11, 2017 02:27Wizara ya Elimu nchini Burundi imetoa tahadhari ya kuzifunga shule 40 nchini humo kutokana na kupata alama ya chini ya asiimia 20 katika mitihani ya kuingia sekondari. Mwandishi wa Radio Tehran na ripoti kamili kutoka Bujumbura...
-
SAUTI, Viongozi wa serikali ya awamu ya Tano Tanzania watakiwa kuweka kando tofauti zao ili kuliletea taifa maendeleo
Apr 10, 2017 00:15Viongozi wa serikali nchini Tanzania wametakiwa kuelewa umuhimu wa kuzingatia dhana ya uongozi bora ambayo ndio msingi wa maendeleo ili kufanikiwa kikamilifu katika mipango ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati.
-
SAUTI: Viongozi wa kidini Kenya wasema, wanasiasa wakishindwa watachukua wao madaraka
Apr 09, 2017 01:57Viongozi wa kidini nchini Kenya wamewataka wanasiasa kuacha kupiga vuvuzela la vitisho na uchochezi wa kikabila na badala yake wazingatia sera za kuunganisha taifa na kupunguza gharama za maisha ya Wakenya. Ujumbe huo umetolewa huku Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu. Mwandishi wa Radio Tehran Seifullah Murtadha na ripoti kamili
-
SAUTI: Uteuzi wa Waziri Mkuu mpya DRC wapokewa kwa hisia tofauti.
Apr 09, 2017 01:51Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amemteua Bruno Chibala kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Samy Badubanga aliyejiuzulu siku ya Ijumaa. Hatua hiyo imepokewa kwa hisia tofauti nchini humo. Mwandishi wa Radio Tehran, Mosi Mwasi na taarifa zaidi