-
Chama cha CUF Tanzania chawakumbuka wanachama wake waliouawa 2001 + Sauti
Jan 27, 2018 04:39Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania kinapeperusha bendera nusu mlingoti kuwakumbuka wanachama wake waliouawa katika maandamano ya mwaka 2001 walipokuwa wanalalamikia kuporwa ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo, visiwani Zanzibar. Maelezo kamili na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Jan 27, 2018 04:30Kama ilivyo kwa sehemu nyingine, wiki hii iliyomalizikia na Ijumaa, kulikuwa na matukio mengi ya Kiislamu katika eneo la Afrika Mashariki. Mwandishi wa Radio Tehran visiwani Zanzibar, Harith Subeit amekusanya baadhi ya matukio hayo na kutuandalia ripoti hiyo hapo juu.
-
Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani
Jan 26, 2018 00:29Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema mbele ya Baraza la Kimataifa la Uchumi mjini Davos Uswisi kwamba nchi za Ulaya zinapaswa kubadilisha siasa zao za kuitegemea Marekani katika masuala ya ndani na nje ya bara hilo.
-
Miaka 25 ya Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania + Sauti
Jan 23, 2018 05:03Chama cha WAnanchi CUF cha nchini Tanzania kimetimiza miaka 25 ya kuasisiwa kwake kikiwa kinakabiliwa na changamoto nyingi za kila upande. Mwandishi wa Radio Tehran, Harith Subeit ametuandalia ripoti ifuatayo:
-
Siasa zisizobadilika za Marekani katika Mashariki ya Kati ni kuidhihirisha Iran kuwa ni tishio
Jan 22, 2018 22:58Siasa za viongozi wa Marekani hata kabla ya kuingia madarakani Donald Trump, siku zote zimekuwa zikienda sambamba na kuibuliwa madai mawili yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Qassemi: Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu miradi yake ya makombora
Jan 22, 2018 11:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haijafanya na haitafanya mazungumzo na nchi yoyote ile kuhusiana na mpango wake wa makombora.
-
Ziara ya Rais wa Zanzibar nchini Imarati + Sauti
Jan 22, 2018 02:45RAis wa Zanzibar, Dk Ali Muhammed Shein yuko katika ziara ya kikazi ya wiki moja katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati). Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, visiwani Zanzibar, Harith Subeit.
-
Yumkini Uganda ikarejesha adhabu ya kifo (SAUTI)
Jan 19, 2018 13:06Kuna wafungwa 278 ambao wamehukumiwa kifo lakini Rais Museveni hajatia saini amri ya utekelezwaji wa hukumu hizo.
-
SAUTI, Waislamu Kenya wakasirishwa na hatua ya serikalia kushindwa kutoa radiamali yoyote kwa matusi ya Trump dhidi ya Afrika
Jan 18, 2018 13:11Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini Kenya waghadhabishwa mno na hatua ya serikali ya Nairobi ya kuchelewa kuonyesha radiamali kali dhidi ya matamshi machafu ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyoyatoa siku chache zilizopita kuwalenga Wafrika na mataifa yao.
-
Ushiriki wa Ulaya kwa ajili ya kuwarejesha makwao wahajiri wa Kiafrika
Jan 16, 2018 23:09Kuendelea hali mbaya na mazingira mabovu waliyonayo wahajiri huko nchini Libya, kumeufanya Umoja wa Ulaya utangaze azma yake ya kushirikiana na Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kuwarejesha katika nchi zao wahajiri hususan wale walioko katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.