-
Araqchi aionya Israel: Iran ina mbinu za kulinda taasisi zake za nyuklia
Oct 22, 2024 11:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya kufanya mahesabu mabaya na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inategemea zana za kijeshi zilizotengenezwa hapa nchini na pia mbinu mbalimbali ili kulinda taasisi zake za nyuklia zenye malengo ya kiraia.
-
Safari ya Pezeshkian nchini Russia na mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika BRICS
Oct 22, 2024 05:42Mkutano wa 16 wa wakuu wa Jumuiya ya Kiuchumi ya BRICS umeanza leo katika mji wa Kazan nchini Russia. Rais Masoud Pezeshkian wa Iran anahudhuria mkutano huo unaotarajiwa kuendelea hadi 24 Oktoba.
-
Iran yaliandikia barua Baraza la Usalama ikilaani chokochoko za US
Oct 22, 2024 03:46Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali matamshi ya hivi karibuni ya Rais Joe Biden wa Marekani kuhusiana na njama ovu ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, matamshi hayo "yanatia wasiwasi sana na ni ya kichochezi."
-
Iran yataka majirani wa Ghuba ya Uajemi wasihadaiwe na vishawishi vya Wamagharibi
Oct 21, 2024 22:54Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran ameyataka mataifa jirani na Iran ya Ghuba ya Uajemi yasidanganyike na vishawishi vya nchi za Magharibi.
-
IRGC: Vikosi vya Ulinzi vya Iran viko tayari kujibu tishio lolote dhidi ya Iran
Oct 21, 2024 08:09Naibu Kamanda wa Uratibu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesisitiza kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimejiandaa kikamilifu kujibu tishio lolote dhidi ya nchi hii kufuatia kupamba moto mivutano katika eneo.
-
Rais wa Iran akosoa unafiki na undumakuwili wa Wamagharibi
Oct 20, 2024 23:25Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali undumakuwili wa utawala haramu wa Israel na Marekani akisisitiza kuwa, Wamagharibi wakiongozwa na Tel Aviv na Washington wanaongoza kwa unafiki licha ya madai yao ya kupigania demokrasia, haki za binadamu na uhuru.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuliwa kigaidi na Israel mwanamama Muirani huko Beirut
Oct 20, 2024 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali kitendo cha Israel cha kumuuwa kikatili mwanamke wa Kiirani na mumewe raia wa Lebanon huko Beirut.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel
Oct 20, 2024 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Tumeshaainisha maeneo yote ya Israel yanayopaswa kupigwa na silaha zetu
Oct 20, 2024 07:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shambulio lolote litakalofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu litajibiwa viikali na kwamba, maeneo yote ya Israel yanayopaswa kupigwa kwa silaha za Iran, yameshaainishwa.
-
Ghalibaf: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lisitekwe na kampeni za vita za Israel
Oct 20, 2024 07:37Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) la Iran amesema kuwa, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi linapaswa kuelewa na kutumia vizuri nguvu zake za dhati, lisikubali kutekwa na kampeni za kivita za utawala wa Kizayuni na liache kutoa madai yasiyo na msingi kuhusu ardhi ya Iran.