-
Waziri wa Michezo wa Italia akataa pendekezo la kuchukua nafasi ya Iran kwenye Kombe la Dunia la FIFA
Apr 25, 2026 09:39Waziri wa michezo wa Italia, Andrea Abodi, amesema kuwa pendekezo la nchi yake kuchukua nafasi ya Iran kwenye Kombe la Soka la Dunia “si sahihi,” na akapinga wazo lolote kuwa timu ya taifa ya nchi hiyo maarufu kama Azzurri itapewa nafasi ya dharura katika mashindano ya ya soka ya FIFA mwaka huu.
-
Saudi Arabia yatarajia kuwapokea kwa ukarimu Wairani wanaoshiriki ibada Hija
Apr 25, 2026 09:34Saudi Arabia imetangaza kuwa imejiandaa kikamilifu kwa msimu wa Hija na inasubiri kwa shauku kuwasili kwa waumini wa Iran wanaoshiriki katika ibada ya Hija Iran, baada ya kufanya maandalizi yote muhimu ili kuhakikisha wanatekeleza ibada zao kwa usalama na faraja.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na viongozi wa Pakistan jijini Islamabad
Apr 25, 2026 09:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Abbas Araqchi, amefika katika mji wa Islamabad, Pakistan na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu nchini humo.
-
Kiongozi Muadhamu: Umoja wa Wairani umetoa pigo kubwa kwa safu za adui
Apr 25, 2026 06:03Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, amepongeza athari kubwa ya umoja wa kitaifa, akisema mshikamano wa wananchi wa Iran umevuruga kwa kiasi kikubwa safu za maadui.
-
Viongozi wa Iran wamwambia Trump: Hatuna watu wenye msimamo mkali na wenye msimamo wa wastani; sote ni Wairani na wanamapinduzi
Apr 25, 2026 05:53Wakuu wa Mihimili Mitatu ya Iran wamejibu madai ya uongo ya Rais Donald Trump Marekani kwamba kuna mgawanyiko ndani ya nchi na kusema: Hatuna watu wenye msimamo mkali na wenye msimamo wa wastani; sote ni Wairani na wanamapinduzi.
-
Utafiti wa IRIB: Wairani wengi wanaunga mkono msimamo wa mapambano dhidi ya Marekani na Israel
Apr 25, 2026 04:34Baada ya vita vya siku 40 vya muungano wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran, utafiti wa kitaifa uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) umeonyesha kuendelea kusimama kidete kwa wananchi katika kuunga mkono vikosi vya ulinzi, mshikamano wa kitaifa na azma madhubuti ya kulinda uwezo wa nchi wa makombora na miundombinu ya kiulinzi.
-
Iran yaonya kuhusu mgogoro wa chakula duniani kutokana na vita vya kigaidi vya Marekani
Apr 25, 2026 04:25Waziri wa Kilimo wa Iran, Gholamreza Nouri, amesema kuwa mashambulizi na vitendo vya uchokozi vya Marekani vina madhara makubwa kwa usalama wa chakula duniani, na vinatoa kikwazo kikubwa katika kufanikisha lengo la “kutokomeza njaa.”
-
Vipi IRGC Imefikia Kuwa na Nguvu na Uwezo Unaoshuhudiwa Hivi Sasa?
Apr 23, 2026 19:05Maadhimisho ya mwaka huu ya kutimia miaka 48 ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC yametoa mguso zaidi katika duru za kisiasa na za vyombo vya habari kuliko ilivyowahi kushuhudiwa katika maadhimisho ya miaka iliyopita.
-
Jeshi la Iran la IRGC lasema litazindua zana za kivita zitakazomshangaza adui
Apr 23, 2026 10:59Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesema kuwa liko tayari kutangaza mafanikio mapya pamoja na zana za kushangaza za kivita zinazozidi upeo wa kuelewa wa adui, likionya kuwa kila kitendo kipya cha uchokozi kitapata majibu makali.
-
Iran Yalalamikia Matumizi Mabaya ya Ardhi na Anga ya Nchi 5 na Marekani
Apr 23, 2026 10:56Amir Saeed Iravani, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, katika barua aliyomwandikia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama, ametoa malalamiko makali kuhusu matumizi mabaya ya Marekani ya ardhi na anga ya nchi tano za eneo katika hujuma za kijeshi dhidi ya Iran. Nchi hizo ambazo zimeafiki ardhi zao kutumiwa kuishambulia Iran ni pamoja na Qatar, Kuwait, Bahrain, Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia.