-
Ujumbe wa UN nchini Libya wakana kuwepo mipango ya kuwapa makazi wahamiaji nchini humo
Jun 06, 2026 04:35Ujumbe wa Msaada wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umekana kile ulichokiita "madai" yasiyo ya kweli kuhusu kuwepo mpango wa umoja huo za kuwapa makazi wahamiaji ndani ya Libya, ukisisitiza kwamba madai haya "hayana msingi".
-
Iran yaikosoa Israel na Marekani kwa kuua watoto vitani
Jun 05, 2026 11:10Iran imekosoa vikali Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwaua watoto wasio na hatia katika nchi mbalimbali kupitia uhalifu wa kivita na uvamizi wa kijeshi.
-
Araqchi: Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda ikilazimu
Jun 05, 2026 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema Iran haitaki vita, lakini iko tayari kuendelea kujilinda inapobidi.
-
Tehran yaikosoa jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua za kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto
Jun 05, 2026 03:03Shirika kuu la haki za binadamu la Iran limelaani mwenendo wa jamii ya kiimataifa wa kutochukua hatua za kushughulikia uhalifu wa ukatili unaofanywa dhidi ya watoto, likitaka kutiliwa maanani kimataifa watoto wengi wasio na hatia waliouawa na Marekani na utawala wa Israel katika uchokozi wa karibuni dhidi ya Iran.
-
Kituo cha nyuklia cha Bushehr nchini Iran chafikia rekodi ya kilowati-saa bilioni 80 za uzalishaji wa umeme
Jun 05, 2026 03:00Kituo cha Nguvu za Nyuklia cha Bushehr nchini Iran kimezalisha jumla ya kilowati-saa bilioni 80 za umeme, hatua inayochukuliwa kuwa mafanikio muhimu katika mpango wa nishati ya nyuklia kwa matumizi ya kiraia nchini.
-
Matembezi ya kilomita 10 katika Siku Kuu ya Ghadir jijini Tehran
Jun 04, 2026 15:33Leo joto kali la mwezi Juni katika barabara za Tehran halikuweza kupunguza hamasa na shauku ya wananchi waliojitokeza kushiriki katika “Ugeni wa Ghadir wa Kilomita 10”.
-
Ayatullah Khamenei: Adui aliyefedheheshwa anahamia kwenye vita mseto baada ya kushindwa kijeshi
Jun 04, 2026 12:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema mahasimu wa Iran wamegeukia mbinu za "vita vya mseto" baada ya kushindwa vibaya mbele ya vikosi vya ulinzi vya nchi hii na kusisitiza kuhusu umoja na umakini wa kitaifa ili kusambaratisha njama za maadui
-
Wairani wamuenzi Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu Imam Khomeini katika kumbukumbu ya miaka 37 tangu kuaga dunia
Jun 04, 2026 12:49Wananchi wa Iran wa matabaka mbalimbali wameshiriki katika marasimu mbalimbali ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka wa 37 tangu kufariki dunia Imam Ruhullah Musavi Khomeini (M.A) Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Spika wa Bunge asema: Zama za kuitishia Iran bila gharama zimeisha
Jun 04, 2026 11:24Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amesema Iran si tena shabaha ya vitisho rahisi vya maadui, akiongeza kuwa uzoefu wa vita viwili vya Marekani na Israel umeonyesha kwamba Iran ina uwezo wa kutoa majibu makali kwa uchokozi wa aina yoyote.
-
Tehran yakanusha madai ya Marekani, yasema Washington inajaribu kuficha uhalifu wake dhidi ya Wairani
Jun 04, 2026 03:34Iran imepinga vikali tuhuma za Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwamba Tehran inataka kuwaua maafisa wa Marekani, ikiikosoa Washington kwa kujaribu kujionyesha kama mwathirika huku ikificha rekodi yake ya uhalifu wa kivita dhidi ya watu wa Iran.