-
Uungaji mkono wa Marekani kwa hatua ya utawala wa Kizayuni dhidi ya UNRWA
Jan 29, 2025 08:47Rais Donald Trump wa Marekani ameendeleza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kufuta idhini ya serikali ya Biden kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), na kutangaza kuwa anaunga mkono uamuzi wa utawala huo wa kufunga ofisi ya UNRWA huko Quds Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Trump ang'ang'ania mpango wake wa kutaka Wapalestina wahamishwe Ghaza, amwalika Netanyahu
Jan 28, 2025 23:58Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kung'ang'ania pendekezo lake la kuhamishwa Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Al-Azhar: Gaza itabaki kuwa Palestina na ardhi ya Kiarabu; UN, EU pia zapinga mpango wa Trump
Jan 28, 2025 05:50Taasisi ya Al-Azhar ya Misri, imelaani mpango wa Rais wa Marekani wa kuwatimua Wapalestina kwa nguvu katika eneo la Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa, Ukanda wa Gaza ni ardhi ya Wapalestina na Waarabu na itabaki hivyo daima.
-
Ni maelfu mangapi ya mabomu ya Marekani yamewaangukia watu wa Gaza?
Jan 28, 2025 05:47Taasisi moja ya Marekani imekiri kwamba Washington iliipatia Israel maelfu ya mabomu ya kuvunja mahandaki aina ya MK-84 wakati wa vita mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Jan 28, 2025 04:33Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.
-
Hamas kwa Waislamu kote duniani: Pingeni njama zote za Wazayuni
Jan 28, 2025 04:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa jamii ya Waislamu duniani kote, ikiwemo ile ya Palestina, kupinga njama zote za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Umma wa Kiislamu.
-
Netanyahu anasa kwenye dema la Mahakama ya Uhalifu
Jan 27, 2025 23:26Baada ya kusita kwa muda wa mwezi mmoja, hatimaye mahakama ya kesi za uhalifu ya Israel imeanza tena kusikiliza kesi za uhalifu za waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Hizbullah: Irada ya Walebanon, ndiyo silaha kubwa zaidi ya Muqawama
Jan 27, 2025 09:00Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imepongeza hatua ya kurejea maelfu kwa maelfu ya watu katika miji yao ambayo ingali inakaliwa kwa mabavu kusini mwa Lebanon, huku wakipuuzilia mbali vitisho vya jeshi la Israel, ikisema nia yao isiyo na kikomo na moyo wao usioweza kutetereshwa, ndiyo silaha kali zaidi za mrengo wa Muqawama.
-
Hamas: Wananchi wa Palestina watabaki katika ardhi yao
Jan 27, 2025 03:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa wananchi wa Palestina wako imara katika ardhi yao na mpango wowote wa kuwahamisha utafeli. Amesisitiza kuwa: Wapalestina watabaki katika ardhi yao.
-
UNRWA yajibu vitisho vya Israel vya kusimamisha shughuli za shirika hilo la kimataifa
Jan 27, 2025 03:48Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa radiamali yake kwa vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kusitishwa shughuli za shirika hilo la Umoja wa Mataifa huko Baitul Muqaddas Mashariki.