-
Mchango wa wazi wa Marekani katika mauaji ya kimbari ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza
Oct 08, 2024 04:14Mwaka mmoja umepita tangu yalipoanza mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza. Sababu muhimu ya kuendelea kushuhudiwa mauaji hayo ya kimbari na vilevile vita dhidi ya Lebanon katika mwezi uliopita ni uungaji mkono wa kila upande wa Marekani kwa utawala vamizi wa Israel.
-
Israel yapata hasara ya dola bilioni 66 katika vita vya Ghaza na Lebanon
Oct 08, 2024 02:26Takwimu mpya za Benki Kuu ya utawala wa Kizayuni zinaonesha kuwa, Israel imeshapata hasara ya dola bilioni 66 za Kimarekani katika vita vyake dhidi ya Ghaza na Lebanon.
-
Mashal: Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ilikuwa jibu kwa jinai za Israel
Oct 07, 2024 23:40Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema operesheni ya harakati hiyo mwaka jana dhidi ya Israel ilikuwa jibu kwa jinai za utawala huo ghasibu.
-
Uchunguzi wa matokeo ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon na Palestina
Oct 07, 2024 22:45Utawala wa Kizayuni wa Israel unatumia silaha zilizopigwa marufuku kushambulia maeneo ya raia ya Lebanon na Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yaitawanga tena kwa makombora Tel Aviv, mwaka mmoja wa Kumbunga cha al Aqsa
Oct 07, 2024 07:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeutwanga tena kwa msururu wa makombora mji mkuu wa utawala wa Kizayuni, Tel Aviv, ikiwa ni katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa operesheni ya kihistoria ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoifedhehesha vibaya Israel.
-
Mwaka mmoja wa Kimbunga cha al Aqsa, Wazayuni wakiri ulikuwa mwaka mgumu sana
Oct 07, 2024 07:31Gazeti la Kizayuni la Haaretz la utawala wa Kizayuni limeandika ripoti maalumu kwa mnasaba wa mwaka mmoja wa Kimbunga cha al Aqsa na kusema kuwa, tarehe 7 Oktoba 2023, Israel ilipata pigo kubwa kutoka kwa wanamapambano wa Palestina.
-
Al-Nakhalah: Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina bado ipo imara katika medani ya vita
Oct 07, 2024 04:24Katika taarifa yake kuhusu mwaka wa kwanza wa Kimbunga cha al Aqsa dhidi ya utawala katili wa Kizayuni, Katibu Mkuu wa Harakati ya Palestina ya Jihadul Islami, Ziyad al-Nakhalah amesisitiza kuwa, Muqawama bado uko imara katika medani ya kupambana na utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Mwaka mmoja baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa; Israel yaendeleza mauaji ya kimbari
Oct 07, 2024 03:55Jumatatu ya leo 7 Oktoba inasadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Marekani ni mshirika na muungaji mkono wa jinai zote za Israel
Oct 07, 2024 03:46Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi ni waitifaki, washirika na wafadhili wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na zinashiriki katika mauaji na maafa dhidi ya taifa la Palestina.
-
Utafiti: 86% ya Wazayuni hawataki tena kuishi karibu na Gaza baada ya vipigo
Oct 06, 2024 22:49Utafiti mpya wa maoni umefichua kuwa, asilimia 86 ya Waisraeli wanasema hawataishi tena katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko karibu na Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika mgogoro huo mbaya zaidi wa kibinadamu uliosababishwa na chokochoko za Tel Aviv.