-
Utafiti: 86% ya Wazayuni hawataki tena kuishi karibu na Gaza baada ya vipigo
Oct 06, 2024 22:49Utafiti mpya wa maoni umefichua kuwa, asilimia 86 ya Waisraeli wanasema hawataishi tena katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko karibu na Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika mgogoro huo mbaya zaidi wa kibinadamu uliosababishwa na chokochoko za Tel Aviv.
-
Wapalestina 24 wauliwa shahidi katika mashambulizi ya Israel katikati mwa Gaza
Oct 06, 2024 08:25Wapalestina 24 wameuawa shahidi na 94 kujeruhiwa katika jinai za leo za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Unicef: Watoto zaidi ya 100 wameuawa Lebanon katika siku 11
Oct 06, 2024 07:36Mfuko wa Kuwahudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza kuwa watoto zaidi ya 100 wameuawa huko Lebanon siku 11 zilizopita kufuatia hujuma na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel nchini humo.
-
Hizbullah yashambulia kampuni ya viwanda vya kijeshi vya Israel
Oct 06, 2024 03:58Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mabomu kampuni ya viwanda vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni ya "ETA".
-
Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza
Oct 05, 2024 23:20Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti zaidi ya 800 imebomolewa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wazayuni wafanya mashambulizi makubwa katika hospitali moja huko mjini Beirut
Oct 05, 2024 09:08Wavamizi wa Kizayuni wamelenga hospitali ya Bint Jbeil iliyoko kusini mwa Lebanon.
-
Asilimia 6 ya wakazi wa Gaza wameuawa au kujeruhiwa katika mwaka mmoja wa mauaji ya kimbari ya Israel
Oct 05, 2024 08:52Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa kufuatia mwaka mmoja wa mauaji ya kimbari yanayoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel, asilimia 6 ya wakazi wa Gaza wameuawa au kujeruhiwa.
-
Hizbullah yavurumisha makombora kwenye maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel
Oct 05, 2024 02:31Duru za habari zimeripoti kuwa, makombora na maroketi 70 yamerushwa kutoka Lebanon kuelekea kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Shambulio la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika viunga vya kusini mwa Beirut
Oct 05, 2024 02:13Vyanzo vya habari vmeripoti leo Jumamosi asubuhi kwamba, ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia vikali kitongoji cha "al-Abyadh" katika viunga vya kusini mwa mji wa Beirut.
-
Oman: Badala ya kulaani hatua ya Iran, komesheni Israel kuikalia kwa mabavu ardhi ya Palestina
Oct 05, 2024 00:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema, badala ya kulaani hatua ya Iran, ukomeshwe ukaliaji ardhi ya Palestiina kwa mabavu unaofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.