-
Duru iliyo karibu na Hizbullah: Mwili wa Shahidi Sayyid Nasrullah umezikwa kwa muda 'sehemu isiyojulikana'
Oct 04, 2024 06:54Duru iliyo karibu na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa mwili wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah umezikwa kwa muda katika sehemu isiyojulikana.
-
Mauaji ya Sayyid Hassan Nasrullah yamekuwa na taathira hasi ya kinyume cha matarajio kwa adui
Oct 04, 2024 06:14Mwakilishi wa Harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema, kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah kumeutia moyo na kuupa ari kubwa Mhimili wa Muqawama na kuwa na taathira hasi na kinyume na iliyotarajiwa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zawadi ya tunu ya HAMAS kwa Sayyid Hassan Nasrullah + VIDEO
Oct 04, 2024 04:29Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda wa video na ndani yake wanatangaza kuwa operesheni hiyo ni zawadi kwa shahid wa Muqawama, Sayyid Hassan Nasrullah. Mkanda huo unaonesha mtego kabambe waliowawekea wanajeshi katili wa Israel na vifaru na mabuldoza yao na namna vinavyoteketezwa kimoja baada ya kingine huko Khan Yunus, katika Ukanda wa Ghaza.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Walebanon mjini Beirut
Oct 04, 2024 03:43Wizara ya Afya ya Lebanon imesema takriban watu 37 wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya 150 wakijeruhiwa katika mashambulizi mapya ya anga ya utawala haramu wa Israel, huku uchokozi usio na kikomo wa utawala huo katili dhidi ya Lebanon ukiendelea.
-
Ansarullah: Nasrullah alizima njama za Wazayuni katika eneo
Oct 03, 2024 23:44Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen sanjari na kutoa pongezi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema Sayyid Hassan Nasrullah alitibua njama za Israel na kuusababishia utawala huo dhalimu vipigo vya fedheha.
-
Umuhimu maradufu wa kikao cha Doha, kwa kuzingatia hali ya eneo
Oct 03, 2024 22:50Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameshiriki katika kikao cha Jukwaa la Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD) huko Doha Qatar, ambapo masuala yanayohusiana na hali iliyosababishwa na mashambulizi na mauaji ya kigaidi ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni katika eneo na jibu kali la Iran dhidi yake, yana umuhimu wa kujadiliwa na kufanyiwa mashauriano na serikali za eneo hili.
-
Israel inazuia kuenezwa ripoti kuhusu pigo kubwa ililopata kufuatia shambulizi la Iran
Oct 03, 2024 09:10Utawala haramu wa Israel umefunga vituo kadhaa muhimu vya kijeshi na kuzuia uchapishaji wa ripoti kuhusu athari za mashambulio ya hivi karibuni ya makombora ya Iran dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Picha za satelaiti zaonyesha makombora ya Iran yalivyoharibu kambi ya anga ya F-35 ya Israel
Oct 03, 2024 09:07Picha za satelaiti za kambi muhimu ya jeshi la anga la utawala Israel iliyosheheni ndege za kivita za F-35 zinazotengenezwa Marekani zinaonyesha shimo kubwa kwenye paa baada ya Iran kuvurumisha makombora ya balistiki dhidi ya ngome za kijeshi za utawala huo ghasibu.
-
Tiketi za ndege zaadimika 'Israel', wengi wanatoroka baada ya makombora ya Iran kutua
Oct 03, 2024 09:03Kufutwa na kuakhirishwa safari za ndege na makampuni ya Ulaya kwenda na kutoka 'Israel' kufuatia hatua ya Iran kuvurumisha makombora dhidi ya ngome za kijeshi na kijasusi za utawala ghasibu wa Israel kumefanya tiketi za ndege kuwa ghali na adimu.
-
Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)
Oct 03, 2024 07:44Katika kujibu swali linalosema kuwa, je, kuna tofauti baina ya Mayahudi na Wazayuni, tunapenda kusema kwamba, naam, kuna tofauti kubwa baina ya makundi hayo mawili.