-
Wimbi la walowezi wa Kizayuni wanaokimbia Israel baada ya vipigo vya Iran (PICHA)
Oct 03, 2024 07:19Baada ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutoa vipigo vikali vya makombora dhidi ya maeneo hassasi ya utawala wa Kizayuni, wimbi la kuakhirishwa safari za ndege za kuingia na kutoka Israel nalo limevunja rekodi huku idadi ya walowezi wa Kizayuni walioamua kukimbia Palestina ikiongezeka sana.
-
Shambulio la Hizbullah laangamiza wanajeshi 14 wa Israel
Oct 03, 2024 05:46Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia vituo viwili vya kijeshi vya utawala wa Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani na kuua wanajeshi 14 wa utawala huo.
-
Makundi ya Muqawama yaishukuru na kuipongeza Iran kwa kutekeleza Operesheni Ahadi ya Kweli 2
Oct 02, 2024 05:36Makundi ya Muqawama yamepongeza jibu kali lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa utawala wa Kizayuni kufuatia Operesheni Ahadi ya Kweli 2 na kutekelezwa kwa mafanikio shambulio la makombora la Iran katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kulenga shabaha zilizokusudiwa kwa asilimia 90 ya makombora yaliyorushwa na vikosi vya ulinzi vya Iran.
-
Jinai mpya za Wazayuni dhidi ya Gaza; mara hii walipua kituo cha watoto yatima
Oct 02, 2024 04:38Utawala wa Kizayuni umeendeleza jinai zake dhidi ya vituo vya kiraia kwa kushambulia kituo cha kulelea watoto yatima cha Maahadul-Amal kilichoko magharibi mwa mji wa Gaza.
-
Utendaji mpya wa Ansarullah ya Yemen dhidi ya Israeli; sasa ni jicho kwa jicho
Oct 01, 2024 23:40Katika kukabiliana na mashambulio mapya ya utawala wa Kizayuni dhidi ya taasisi mafuta na bandari za Yemen, Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetishia kushambulia maeneo ya raia huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).
-
Qatar yataka mataifa ya Kiislamu kuungana kupambana na utawala wa Kizayuni
Oct 01, 2024 23:00Waziri mshauri wa serikali ya Qatar katika masuala ya uhusiano wa kimataifa ameonya kuhusu hatari ya kuzuka vita vikubwa vya ukanda mzima wa Asia Magharibi na ametaka mataifa ya Kiislamu yaungane kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji ya kizazi huko Palestina na Lebanon.
-
Hizbullah ya Lebanon yawatwanga tena kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni
Oct 01, 2024 10:28Wanamapambano wa Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon wamefanya mashambulizi mengine makali kwa kulitwanga kwa makombora eneo walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
UNICEF yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watoto wa Lebanon
Oct 01, 2024 10:16Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Lebanon na ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya watoto nchini humo.
-
Israel yashambulia kwa mabomu makazi ya wakimbizi wa Kipalestina Gaza
Oct 01, 2024 02:54Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu shule ya makazi ya Wapalestina katika mji wa Gaza.
-
Radiamali ya Nicaragua kwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Palestina na Lebanon
Oct 01, 2024 02:48Valdrack Jaentschke Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nicaragua amekosoa vikali na mfumo usio wa haki unaotawala dunia hivi sasa na kulaani vikali mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni na waitifaki wake dhidi ya watu madhulumu wa Palestina na Lebanon.