-
Sayyid Nasrullah: Israel 'italipa kwa damu' mauaji ya raia wa Lebanon
Feb 17, 2024 04:40Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Israel "utalipa kwa damu" gharama ya mauaji ya hivi karibuni ya raia kusini mwa nchi hiyo, akisisitiza kwamba mauaji hayo hayawezi kuifanya harakati hiyo kuacha kuwaunga mkono na kuwatetea Wapalestina katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
Ripoti: Nchi za Kiarabu hazitaki Marekani itumie ardhi zao kuishambulia Iran
Feb 17, 2024 04:12Nchi kadhaa za Kiarabu zinaripotiwa kukataa maombi ya Marekani na washirika wake kufanya mashambulizi kutoka katika ardhi zao dhidi ya Iran na makundi ya muqawama katika eneo la Asia Magharibi wakati huu wa mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
Mke wa kiongozi wa Daesh (ISIS) afichua siri nzito kuhusu al Baghdadi
Feb 16, 2024 23:19Wakuu wa mahakama nchini Iraq wametangaza kuwa familia ya Abu Bakar al-Baghdadi, kiongozi wa zamani wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wamefanyiwa usaili baada ya kurejeshwa Iraq kutoka nje ya nchi.
-
HAMAS yaendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa Israel
Feb 16, 2024 23:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kujibu jinai zinazofanywa na Wazayuni hao makatili dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Athari mbaya za kuendelea sera za vita za Marekani na Uingereza katika Bahari Nyekundu
Feb 16, 2024 04:42Marekani na Uingereza zinaendelea kuzua hali ya wasiwasi na vita katika Bahari Nyekundu licha ya pingamizi na maonyo ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Hizbullah: Mhimili wa Muqawama umedhamiria kwa dhati kuikomboa Palestina kwa gharama yoyote
Feb 16, 2024 04:23Harakati ya Muqawama wa Lebanon ya Hizbullah imesema Mhimili wa Muqawama katika eneo umeazimia kuikomboa Palestina kutoka kwenye makucha ya uvamizi na ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa gharama yoyote.
-
Askari katili wa Israel wamuua baba na mama Wapalestina mbele ya watoto wao wadogo
Feb 15, 2024 23:55Katika muendelezo wa mauaji ya kimbari dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Ghazza, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua kwa kuwapiga risasi wazazi wa watoto kadhaa wa Kipalestina mbele ya macho yao.
-
Lebanon kuishtaki Israel katika Baraza la Usalama kwa kuishambulia kwa droni
Feb 15, 2024 23:16Serikali ya Lebanon imesema itawasilisha faili la malalamiko dhidi ya Israel katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kufuatia hatua ya utawala huo wa Kizayuni kufanya shambulio hatarishi la ndege zisizo na rubani na kuua watu kadhaa kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa
Feb 15, 2024 23:13Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
-
Wapalestina wengine 14 wauawa shahidi; US, UK zaendeleza mashambulizi Yemen
Feb 15, 2024 07:34Wapalestina wengine 14 wauawa shahidi katika kambi ya wakimbizi ya al Nasirat katikati mwa Ukanda wa Ghaza baada ya wanajeshi makatili wa Kizayuni kufanya mashambulizi kwenye maeneo ya raia. Jinai hiyo imefanyika huku Marekani na Uingereza nazo zikiendelea kuishambulia Yemen ili kuunga mkono jinai za Israel huko Ghaza.