-
Matokeo ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni dhihirisho la kusimama kidete Muqawama na kutengwa Israel
Jan 15, 2024 01:01Baada ya kupita siku 100 tangu Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa ilipoanza, athari za kusimama kidete harakati za mapambano ya ukombozi au muqawama na kuzidi kutengwa utawala wa Kizayuni wa Israel zinazidi kudhihirika katika maoni ya umma duniani.
-
Sayyid Nasrullah: Taarifa zetu zinathibitisha kuangamizwa Wazayani katika kituo cha Meron
Jan 14, 2024 12:54Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa harakati hiyo ya Muqawama imerusha roketi 62, yakiwemo maroketi 20 ya Katyusha na makumi ya makombora ya Kornet yenye uwezo mpya, ambayo yamelenga shabaha huko Meron, kaskazini mwa Israel, na kwamba filamu iliyorushwa mitandaoni na Hizbullah haifichui ukweli wote.
-
Makubaliano ya pamoja ya Wayemen ya kukabiliana na muungano wa kijeshi wa Marekani
Jan 14, 2024 06:13Hatua ya Marekani na Uingereza ya kuishambulia kijeshi Yemen imekabiliwa na malalamiko makubwa ya wananchi na onyo kali la viongozi wa nchi hiyo.
-
Maripota wa UN wakasirishwa na Ujerumani kuunga mkono mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Gaza
Jan 14, 2024 04:10Maripota wa Umoja wa Mataifa wameghadhibishwa na kitendo cha Ujerumani cha kuunga mkono mauaji ya halaiki yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
Balozi wa Iran UN: Ansarullah ina uwezo wa kutosha wa kuwahami watu na nchi ya Yemen
Jan 14, 2024 04:09Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya kijeshi ya karibuni ya Marekani na Uingereza huko Yemen na kusema: Harakati ya Ansarullah ya nchi hiyo ina nguvu na uwezo wa kutosha wa kuwalinda na kuwahami watu na nchi hiyo.
-
Juhudi za utawala wa Kizayuni za kupotosha uhakika wa kutisha wa vita vya Gaza
Jan 13, 2024 08:46Kikao cha kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ, yenye makao yake huko Hague Uholanzi kimeanza katika hali ambayo mauaji ya kimbari na jinai za kivita za utawala wa Israel unaoiklia Quds kwa mabavu zingali zinaendelea katika ardhi za Palestina; na kila siku wananchi wa Palestina wanaendelea kuuliwa shahidi.
-
Ansarullah: Marekani haijafikia malengo yake kwa kuishambulia Yemen
Jan 13, 2024 08:22Mkuu wa shirika la habari la Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya makombora ya harakati hiyo ya muqawama hayajafanikiwa, na kwamba Washington imeshindwa kufikia malengo yake kwa hujuma hizo.
-
Vituo vya kijeshi vya US vimeshambuliwa mara 130 na muqawama Iraq, Syria
Jan 13, 2024 08:20Kambi na vituo vya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika nchi za Syria na Iraq vimeshambuliwa mara 130, tangu vilipoanza vita vya Gaza mnamo Oktoba mwaka uliopita.
-
US yaendelea kuishambulia kijeshi Yemen, Ansarullah yasema imekuwa ikingojea kwa hamu makabiliano ya ana kwa ana
Jan 13, 2024 04:13Vyombo vya habari vya kimataifa vimeripoti kuwa Marekani imefanya kwa mara nyingine tena mashambulizi ya kijeshi ya upande mmoja dhidi ya Yemen alfajiri ya kuamkia leo.
-
Wapalestina 10 wauawa shahidi Gaza, idadi ya vifo yafikia 23,708, majeruhi wapindukia 60,000
Jan 13, 2024 03:37Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu eneo la karibu na makazi ya wakimbizi wa Kipalestina mashariki mwa kivuko cha Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 10 wakiwemo watoto kadhaa.