-
Hashdu Shaabi yashambulia maficho ya magaidi Iraq; yaua kadhaa miongoni mwao
Jun 07, 2022 03:33Wanamapambano wa harakati ya wanamuqawa ya Hashdu Shaabi ya Iraq wameshambulia ngome na maficho ya mabaki ya wanachama wa magenge ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi ajinabi kaskazini mwa Baghdad, mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HAMAS: "Muqawama" ndiyo njia pakee ya kupambana na wavamizi na kuwashinda
Jun 06, 2022 22:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, njia pekee ya kuweza kupambana na kuwashinda wavamizi ni muqawama na mapambano ya kila upande, ya silaha, ya kisiasa, ya kijamii, ya kiuchumi na ya kidiplomasia.
-
Muhammad bin Salman; Ufalme wa Saudi Arabia katika njia ya kuwekwa wazi uhusiano na Israeli
Jun 06, 2022 21:59Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Israel vimetangaza kuwa Saudi Arabia imekubaliana na utawala huo ghasibu kufungua anga yake kwa ajili ya kutumiwa na ndege za Kizayuni.
-
Ansarullah: Kumvunjia heshima Mtume SAW ni kufilisika kimaadili
Jun 06, 2022 05:43Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kumvunjia heshima Bwana Mtume SAW ni ishara ya wazi ya kufilisika kimaadili.
-
Ismail Hania asisitiza kuuhami Msikiti wa al-Aqswa kwa kutumia nyenzo zote
Jun 06, 2022 05:41Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza udharura wa kutumiwa suhula na nyenzo zote kwa ajili ya kuulinda na kuuhamai Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Nabih Berri: Hatutanyamazia kimya uvamizi wa Israel dhidi ya mamlaka ya majini ya Lebanon
Jun 06, 2022 05:35Spika wa Bunge la Lebanon ameashiria hujuma ya utawala haramu wa kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya baharini ya nchi hiyo ya Kiarabu katika Bahari ya Mediterania na kusisitiza kuwa, katuu Lerbanon haiwezi kunyamazia kimya hatua na hujuma hizo.
-
Lebanon yaionya vikali Israel, vita vyanukia katika Bahari ya Mediterania
Jun 06, 2022 03:36Rais wa Lebanon Michel Aoun ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba usijaribu kuchimba gesi katika Bahari ya Mediterania kabala ya mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya pande mbili kutatuliwa.
-
Bennett aonya juu ya kusambaratika kwa ndani Israeli na kukaririwa historia ya kuporomoka serikali ya Kiyahudi
Jun 05, 2022 23:25Waziri Mkuu wa Israel ameonya juu ya kusambaratika kwa ndani utawala huo wa kibaguzi na kujirudia historia ya kuporomoka utawala wa Kiyahudi.
-
Wapalestina watolewa mwito wa kumiminika Msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama ya wazayuni
Jun 04, 2022 07:35Makundi mbalimbali ya Kipalestina yamewatolea mwito Wapalestina kukusanyika mnamo siku zijazo katika msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama nyingine ya walowezi wa kizayuni.
-
Naftali Bennett akiri: Israel inakaribia kusambaratika
Jun 04, 2022 07:06Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Naftali Bennett, ameashiria fujo na mchafukoge unaoshuhudiwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kukiri kuwa Israel inakaribia zaidi kusambaratika.