-
Madaktari Wasio na Mipaka: Wafanyakazi wetu waliuawa kwa makusudi Tigray
Jul 16, 2025 04:54Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limesema wafanyakazi wake watatu "waliuawa kwa makusudi" wakati wa mapigano makali katika eneo la Tigray nchini Ethiopia.
-
Watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa DAESH watiwa mbaroni Ethiopia
Jul 16, 2025 03:21Shirika la Taifa la Intelijensia la Ethiopia limetangaza kuwa limewakamata watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
27 wauawa katika shambulio la watu wenye silaha katika jimbo la Plateau, Nigeria
Jul 15, 2025 13:46Watu wasiopungua 27 wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha kaskazini kati mwa jimbo la Nigeria la Plateau, katika machafuko ya hivi karibuni yaliyolikumba eneo hilo ambalo halina usalama wa kutosha.
-
Maelfu wahamishwa baada ya Al-Shabab kudhibiti mji katikati mwa Somalia
Jul 15, 2025 12:52Afisa mmoja wa jeshi la Somalia ametangaza kuwa, wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabab wameuteka mji wa Tardo katika eneo la Hiiran katikati ya nchi hiyo.
-
Wanaharakati Sudan: RSF imeua watu 300 Kordofan Kaskazini
Jul 15, 2025 00:53Wanaharakati wa Sudan wamesema Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) kimeua karibu watu 300 katika wimbi jipya la mashambulizi katika jimbo la Kordofan Kaskazini, magharibi mwa nchi.
-
Kadhaa wauawa katika shambulio la al-Shabaab, Garissa Kenya
Jul 14, 2025 11:42Watu wawili wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio linaloshukiwa kuwa la magaidi wa al-Shabaab katika Kaunti ya Garissa, kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Mkuu wa Jeshi la Uganda: US imeanzisha mazungumzo ya siri na al-Shabaab Somalia
Jul 14, 2025 11:03Mkuu wa Jeshi la Uganda ametoa wito wa kuondolewa kikamilifu wanajeshi wa Umoja wa Afrika kutoka Somalia, akidai kuwa Marekani imeanzisha mazungumzo ya siri na kundi la kigaidi la al-Shabaab.
-
Rasmi; Rais wa Cameroon, Paul Biya (92) kugombea muhula mwingine katika uchaguzi ujao
Jul 14, 2025 09:26Rais wa sasa wa Cameroon, Paul Biya ametangaza kuwa atagombea muhula wa nane katika uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Oktoba 12, na hivyo kuhitimisha uvumi wa miezi kadhaa wa iwapo atawania au la.
-
Baadhi ya Waislamu Kenya wapendekeza Kadhi Mkuu ajaye atoke nje ya Pwani
Jul 14, 2025 03:26Baada ya kupita siku chache tu tangu alipoaga dunia Kadhi Mkuu wa Kenye Sheikh Abdulhalim Hussein Athman, baadhi ya Waislamu wamependekeza kadhi ajaye atoke nje ya eneo la Pwani.
-
Mkuu wa Mawaziri Kenya atofautiana na Rais Ruto kuhusu kuwapiga risasi waandamanaji
Jul 13, 2025 23:43Mkuu wa Mawaziri wa Mawaziri nchini Kenya, Musalia Mudavadi ametofautiana na Rais William Ruto kuhusu wito wake wa kupigwa risasi viijana wanaoandamana kupinga sera za serikali yake na amevitaka vyombo vya usalama visiwaumize Wakenya wakati wa maandamano.