-
Iran yasikitishwa na shambulio la droni lililoua 70 hospitalini Darfur, Sudan
Jan 27, 2025 12:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei amelaani shambulio la ndege isiyo na rubani dhidi ya hospitali moja katika mji wa El Fasher katika mkoa wa magharibi wa Darfur nchini Sudan, na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Ghalibaf: Changamoto ya uhusiano wa kiuchumi wa Iran na Afrika ni usafiri
Jan 17, 2025 07:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataja matatizo ya usafiri kuwa ni miongoni mwa changamoto kubwa katika kupanua uhusiano wa kiuchumi wa Iran na bara la Afrika akisema: Uwezo wa kimataifa kama wa kundi la BRICS na Shanghai ni fursa muhimu za kustawisha ushirikiano wa kiuchumi.
-
Spika wa Bunge la Iran awasili Ethiopia kwa ziara rasmi
Jan 17, 2025 03:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewasili Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia akiongoza ujumbe wa ngazi za juu Bunge kwa mwaliko wa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Ethiopia.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Misri kushiriki kikao cha D-8
Dec 18, 2024 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea mjini Cairo Misri kwa ajili ya kushiriki kwenye kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la D-8 la nchi za Kiislamu zinazostawi.
-
Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kushiriki mkutano nchini Misri
Dec 17, 2024 11:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa, Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika mkutano wa D-8 nchini Misri.
-
Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran
Dec 01, 2024 04:12Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.
-
Iran yaanza kuzipelekea vifaa vya tiba, nchi nane za Afrika + Picha
Nov 07, 2024 12:18Shirika la vifaa vya matibabu la Hilal Nyekundu la Iran lenye makao yake mkoani Al Borz, Alkhamisi, Nivemba 11, 2024 limeanza kuzipelekea vifaa vya tiba nchi nane tofauti za bara la Afrika.
-
Uhusiano wa Iran na Tunisia wazidi kuimarika, Tunis yataka safari za moja kwa moja za ndege
Nov 07, 2024 09:55Balozi wa Tunisia mjini Tehran ametaka kuweko safari za moja kwa moja za ndege baina ya Tehran na Tunis hasa kwa vile uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unazidi kuimarisha siku baada ya siku.
-
Pezeshkian: Iran imeazimia kuimarisha uhusiano na Algeria
Nov 02, 2024 03:00Rais wa Iran Masoud Pezeshkian ameipongeza Algeria kwa kuadhimisha miaka 70 ya mapinduzi yake, akielezea utayarifu wa Iran wa kuimarisha uhusiano na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyuga mbali mbali.
-
Afrika Kusini na Somalia zalaani vikali shambulio la Israel nchini Iran
Oct 28, 2024 06:54Afrika Kusini na Somalia zimelaani vikali shambulio la Jumamosi alfajiri la Israel dhidi ya Iran na kusema kuwa chokochoko hizo za utawala wa Kizayuni zinatishia usalama wa ukanda mzima wa Asia Magharibi.