-
Muendelezo wa mashambulizi makali ya Hizbullah ya Lebanon kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 12, 2024 08:11Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo ya kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa mashambulizi makali ya makombora.
-
Uasi wa Tel Aviv na Netanyahu dhidi ya nidhamu na taasisi za kimataifa
Oct 12, 2024 04:46Kuendelea uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina na Lebanon na vitisho vyake vya kigaidi katika eneo, kunahesabiwa kuwa ni uasi dhidi ya sheria na utaratibu wa kimataifa ambao umeasisiwa kutokana na juhudi endelevu za miongo kadhaa za Umoja wa Mataifa na taasisi nyingine za kimataifa.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Jamii ya kimataifa inapaswa kuacha kuiuzia silaha Israel
Oct 12, 2024 03:51Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kuwa, Israel imekiuka sheria za kimataifa za kibinadamu na kuitaka jamii ya kimataifa iache kuuzia silaha utawala huo ambao unafanya mauaji ya kimbari.
-
Maafisa watatu wa jeshi la Israel wameuawa katika mapigano na wanamapambano Gaza
Oct 11, 2024 23:22Mameja watatu wa jeshi la utawala haramu wa Israel wameuawa wakati wa makabiliana na wapigania ukombozi wa Palestina kaskazini mwa Gaza, wakati wapiganaji hao shupavu wakijaribu kuzuia mashambulizi ya ardhini ya wanajeshi wa Israel.
-
Kuendelea juhudi za Iran za kutanua ushirikiano wa kikanda
Oct 11, 2024 11:13Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameendelea na safari yake ya kuzitembelea nchi za eneo hili la Asia Magharibi ambapo baada ya kuitembelea Saudia ameitembelea pia Qatar katika jitihada za kuleta ushirikiano mkubwa zaidi wa kieneo na kutafuta njia za kukomesha jinai za Israel huko Palestina na Lebanon.
-
Wapalestina 28 wauawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza
Oct 11, 2024 07:48Makumi ya Wapalestina wameuawa shahidi huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika jinai mpya za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Shambulio la kinyama la Israel katikati ya Beirut laua Walebanon 22 na kuwajeruhi wengine 117
Oct 11, 2024 04:14Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya shambulizi la kinyama la anga katikati mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut nje ya viunga vya kusini mwa mji huo, na kuua watu wasiopungua 22 na kujeruhi wengine wengi.
-
Yemen yashambulia meli ya mafuta ya US na nyengine inayohusiana na Israel katika Bahari ya Sham
Oct 11, 2024 04:11Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimefanya operesheni mbili za mashambulio dhidi ya meli ya mafuta ya Marekani na meli ya mafuta yenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Bahari ya Hindi na Bahari ya Sham.
-
Reuters: Nchi za Kiarabu zimeiomba Marekani iizuie Israel isishambulie vituo vya mafuta vya Iran
Oct 11, 2024 00:09Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa nchi kadhaa za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zimeiomba na kuishawishi Marekani iuzuie utawala wa Kizayuni wa Israel usishambulie vituo vya mafuta vya Iran, zikikhofu kwamba Tehran inaweza kulipiza kisasi na kuathiri uzalishaji wao na kuvuruga masoko ya kimataifa.
-
Hizbullah yaendelea kuyatwanga maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora
Oct 10, 2024 23:08Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon umeendelea kutoa vipigo vikali kwa walowezi wa Kizayuni kwa kuyashambulia kwa makombora maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina la Israel na maeneo mengine muhimu ya Wazayuni kama Haifa.