-
Kusalia Imara Mhimili wa Muqawama
Oct 10, 2024 23:05Baada ya kutekelezwa Oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa, Utawala wa Kizayuni wa Israel ulidhani kuwa ungeweza kuiangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa mashambulizi ma kubwa na kuigeuza Gaza kuwa ardhi iliyoungua.
-
Onyo kali la Baghdad dhidi ya hatua ya Israel ya kumvunjia heshima Ayatullah Sistani
Oct 10, 2024 08:43Serikali ya Iraq imelaani vikali ufidhuli na hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kumuweka kiongozi wa juu zaidi ya Kiislamu nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, kama mmoja wa walengwa wa mipango ya mauaji ya kigaidi ya Israel.
-
Wazayuni wamkosoa Netanyahu kwa kuchanganyikiwa na kutokuwa na mpango wa vita
Oct 10, 2024 07:00Kuendelea kupanuka nyanja za vita vinavyoendeshwa na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na baraza lake la mawaziri, kumekosolewa vikali na Wazayuni ambao wanalitazama suala hilo kuwa, ni ishara ya kuchanganyikiwa kwake na kutokuwa na mpango wa kuendesha vita.
-
Ndege zisizo na rubani za Hizbullah (Hud-hud) zachukua tena picha na video za vituo muhimu vya Israel
Oct 10, 2024 04:30Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeonyesha picha na video za vituo muhimu vya kijeshi, makao makuu, na maeneo ya kistatijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Haifa-Carmel, zilizochukuliwa na ndege zake zisizo na rubani za harakati hiyo zinazojulikana kwa jina la Hud-hud.
-
Muendelezo wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Kiislamu wa Iraq dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 10, 2024 02:05Muqawama wa Kiislamu wa Iraq kwa mara nyingine tena umelenga na kushambulia moja ya maeneo muhimu kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ndege isiyo na rubani.
-
Rais Erdogan: Israel ni Shirika la Kigaidi la Kizayuni
Oct 10, 2024 00:06Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vikali mashambulio ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon na Gaza na kuitaja Israel kuwa ni "shirika la kigaidi la Kizayuni".
-
Ayatullah Sistani awekwa kwenye orodha ya mauaji ya utawala wa Israel
Oct 09, 2024 10:30Idhaa ya 14 ya Israel imechapisha picha ya kiongozi wa juu zaidi ya Kiislamu nchini Iraq, Ayatullah Ali al-Sistani, kama mmoja wa walengwa wa mipango ya mauaji ya kigaidi ya Israel.
-
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Iraq dhidi ya utawala wa Kizayuni
Oct 09, 2024 03:18Muqawama wa Kiislamu wa Iraq umelenga shabaha moja muhimu ya utawala habithi wa Kizayuni kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa na kukwamishwa njama za Wazayuni Asia Magharibi
Oct 08, 2024 22:54Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ilikuwa kikwazo kwa utekelezaji wa mpango ulioandaliwa mwishoni mwa wa urais wa Donald Trump chini ya fremu ya Mkataba wa Abraham kwa ajili ya Asia Magharibi. Serikali ya Joe Biden licha ya baadhi ya tofauti na Trump lakini imeidhinisha mengi kati ya hayo.
-
Sheikh Qassim: Hakuna shaka Hizbullah itamshinda adui Mzayuni
Oct 08, 2024 08:13Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyofanywa na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS na makundi mengine ya mapambano yenye makao yao makuu huko Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na kusema kuwa, operesheni hiyo iliashiria mwanzo wa kubadilisha taswira ya eneo la Asia Magharibi kwa kuyahusisha makundi ya Muqawama.