-
Matokeo ya operesheni 2,500 za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon dhidi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
Aug 05, 2024 11:41Katika siku 300 zilizopita tangu kuanza hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza, Hizbullah ya Lebanon imelenga shabaha maeneo mbalimbali utawala huo katika operesheni za kijeshi 2,500.
-
Mauaji ya Gaza: Israel yashambulia shule na kuua watoto wa Palestina
Aug 05, 2024 04:22Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vimeshambulia kambi mbili za shule katika Ukanda wa Gaza, na kuua Wapalestina wasiopungua 30 waliokimbilia makazi yao.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kamandi ya utawala katili wa Israel
Aug 05, 2024 03:56Hizbullah ya Lebanon imelenga makao ya Kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni huko Eilat katika shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kwa kutumia ndege kadhaa zisizo na rubani.
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper
Aug 05, 2024 01:17Vikosi vya ulinzi vya anga vya Yemen vimeitungua ndege nyingine ya kivita isiyo na rubani ya MQ-9 Reaper ya Marekani katika anga ya Yemen.
-
Rais Maduro: Venezuela daima itakuwa pamoja na wananchi wa Palestina
Aug 04, 2024 08:45Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amelaani mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Amerika ya latini daima itakuwa pamoja na Palestina.
-
Umoja wa Wapalestina katika Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na mateka wa Kipalestina
Aug 04, 2024 07:22Miji mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imeshuhudia maandamano ya kupinga vita vya Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na mauaji ya kimbari dhidi yao katika siku ya kitaifa na kimataifa ya kuisaidia na kuiunga mkono Ghaza na mateka Wapalestina.
-
Shirika la Redio na TV la Israel: Hatupati usingizi kwa hofu ya majibu ya Iran
Aug 04, 2024 03:54Shirika la Redio na Televisheni la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba Wazayuni hawapati usingizi kabisa kwa kuhofia jibu la Iran hasa kwa kutojua majibu hayo yatatolewa lini na kutabiri kuwa, huenda mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Tehran yatapiga kambi za kijeshi za Israel.
-
Naim Qassem: Majibu ya Hizbullah yatauumiza vibaya utawala wa Kizayuni
Aug 03, 2024 23:14Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza uwa, majibu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni ni jambo lisiloepukika na majibu hayo yatakuwa ya kuuumiza utawala wa Kizayuni.
-
Utawala wa Kizayuni waingiwa na hofu na kiwewe cha kukabiliwa na jibu kali la Iran na muqawama
Aug 03, 2024 10:24Viongozi watenda jinai wa utawala wa Kizayuni wanapitia kipindi kigumu cha hofu, kiwewe na wasiwasi wakisubiri jibu kali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na makundi ya muqawama kutoka na kitendo chao cha kumuua kigaidi Shahidi Ismail Haniyeh, Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas alipokuwa safarini mjini Tehran.
-
Meshal: Hatutaitambua Israeli, na vitisho havitavunja azma yetu
Aug 03, 2024 03:26Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) nje ya Palestina, Khaled Meshaal, amesema kuwa harakati hiyo haitaitambua Israel, na kwamba Hamas haitaathiriwa na vitisho vya aina yoyote.