-
HAMAS yakanusha madai ya kukubali pendekezo la usitishaji vita
Mar 13, 2024 04:15Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekadhibisha ripoti ya shirika la habari la al-Arabiya kwamba kundi hilo la muqawama limeafiki 'pendekezo la kimataifa' la usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Waisraeli 80,000 wakimbia makazi yao wakihofia makombora ya Hizbullah
Mar 13, 2024 04:14Makumi ya maelfu ya walowezi wa Kizayuni wamekimbia makazi yao katika maeneo ya kaskazini mwa Palestina yaliyopachikwa jinai bandia la Israel, wakihofia mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Mamia ya walowezi wa Kiyahudi wauvamia Msikiti wa Al-Aqsa huku wakilindwa na askari wa Israel
Mar 12, 2024 23:17Mamia ya walowezi wa Kiyahudi jana Jumanne walivamia tena eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Baitul-Muqaddas Mashariki unaokaliwa kwa mabavu huku wakisindikizwa na kulindwa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanaoendelea kuchukua hatua kali za kuwawekea mipaka Wapalestina ya kuingia kwenye msikiti huo.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 09:00Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Hizbullah yajibu mashambulizi kwa kuupiga utawala wa Kizayuni kwa makombora 100
Mar 12, 2024 08:11Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon mapema leo Jumanne, umekipiga kwa makombora zaidi ya 100 ya Katyusha, kituo kikuu cha ulinzi wa anga cha utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kaskazini mwa Palestina yaliyopachikwa jinai bandia la Israel.
-
Unicef: Ni muhali kuelezea maafa ya Gaza
Mar 12, 2024 04:18James Elder msemaji wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) amesema kuwa hakuna maneno yanayoweza kuelezea maafa yanayowapata watu wa Gaza.
-
Kushadidi mivutano baina ya vyama vya upinzani na Baraza la Mawaziri la Israel
Mar 12, 2024 02:24Yair Lapid, kiongozi wa chama cha upinzani cha Yesh Atid amekiri juu kushadidi hitilafu na mizozo ya ndani baina ya vyama vya upinzani na Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UNFPA: Wanawake ni waathirika wakubwa wa mfumo wa afya usiofanya kazi wa Yemen
Mar 11, 2024 23:02Naibu Mwakilishi wa Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa (UNFPA) nchini Yemen ameeleza kuwa aghalabu ya hospitali na vituo vya afya nchini humo havifanyi kazi kutokana na hali ya mgogoro iliyoikumba nchi hiyo na hivyo kusababisha vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga.
-
Rabi mkuu wa Wayahudi atishia kuondoka katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Mar 11, 2024 22:54Rabi Mkuu wa Wayahudi, Ishaq Yosef, ametishia kuwa wataondoka wote Israel iwapo kabila la Lawi litalazimishwa kujiunga na jeshi la utawala wa Kizayuni.
-
Muqawama walitia hasara kubwa jeshi la Israel Gaza na Lebanon
Mar 11, 2024 08:34Makundi ya muqawama yamelisababishia hasara kubwa jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza, wakati huu ambapo utawala huo wa Kizayuni unandeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi wa eneo hilo lililo chini ya mzingiro.